Joomla Website Developers....

Mkuu nimetembelea tovuti yako, tatizo kwako ni kuwa Login form imepotea, na si lolote. Hii inawezekana imeshambuliwa na chrono form au wewe mwenyewe bila kujua ulidisable llogin form.

Kutatua tatizo:
1. Tumia FTP kwa kubadilisha $offline = '0'; na kuwa $offline = '1';

2. Nenda kwenye database (tumia PHP Admin inayopatikana kwenye host wako), nenda kwenye table inayoitwa _modules chini utaona kuna module inayoitwa Login. Kumbuka kuna login za aina mbili, moja ni kwa ajili ya user (front end ) na nyingine kwa admin. Ili kuwa salama pia sijui umeenable login ngapi ndio maana nilikushauri uiweke offline, enable modules zote za login kwa kuset published kwenda moja.

3. Login na uondoa usichotaka na kuirudisha site online

Kama vp unaweza nitumia PM details za server yako nikusaidie bila gharama yoyote.
 
Saa zingine pia kuinstall module tofauti tofauti kuna sababisha hiyo problem, tatizo sio kubwa sana. Kama umeshindwa then tunaweza kukusaidia kutatua hilo tatizo ukipenda.
 
Thanks Jamani for your help mchango wenu ni mkubwa sana nimefanikiwa tatizo
1. Nimefuta administrator folder in my file manager
2. nimeinstall new joomla fresh installation of the same version
3. nimeapload file la administrator
4. Login ikakubali.
 
Thanks Jamani for your help mchango wenu ni mkubwa sana nimefanikiwa tatizo1. Nimefuta administrator folder in my file manager2. nimeinstall new joomla fresh installation of the same version3. nimeapload file la administrator4. Login ikakubali.
Sawa mkubwa, ila hii ni last option. Ni sawa na kure install windows. Pia tatizo lingine linakuja, kwakuwa haukufanikiwa kujua chanzo cha tatizo, so inawezekana kabisa likatokea tena, so jiandae na Backup, nimeona site yako sio kubwaso unaweza kufanya Full backup kwa kutumia Akeeba Backup. Hii itakusaidia pindi tatizo hili litapotokea tena.
 
Thanks Jamani for your help mchango wenu ni mkubwa sana nimefanikiwa tatizo
1. Nimefuta administrator folder in my file manager
2. nimeinstall new joomla fresh installation of the same version
3. nimeapload file la administrator
4. Login ikakubali.

Karibu tena
 
Back
Top Bottom