Asante kwa ushauri....Kwanza kabisa angalia hapo kwenye switch socket ukutani je!umeme upo unafika?? Kama upo fungua hiyo top plug hapo kwenye cable ya friji ndani kuna fuse (fiuzi) je ikipima inapitisha moto? Kama ni nzima !! Zunguka nyuma ya hilo friji chungulia hapo kwenye kompresa pembeni kuna kitu kinaitwa reley je inapokea moto na kotoa?? Katika hatua hizo tatu nadhani kuna same where problems!!! Chumguza hivyo leta mrejesho!!
Kompresa inaunguruma auAsante kwa ushauri....
Nimekagua sehemu hizo zote zinafanya kazi vzur.....i mean linawaka but halipati ubaridi!?
Wa stand me langu limezima taa aziwaki hila lina unguruma shida nn? Taa hile nyekundu ya kuonyesha kuwakaKwanza kabisa angalia hapo kwenye switch socket ukutani je!umeme upo unafika?? Kama upo fungua hiyo top plug hapo kwenye cable ya friji ndani kuna fuse (fiuzi) je ikipima inapitisha moto? Kama ni nzima !! Zunguka nyuma ya hilo friji chungulia hapo kwenye kompresa pembeni kuna kitu kinaitwa reley je inapokea moto na kotoa?? Katika hatua hizo tatu nadhani kuna same where problems!!! Chumguza hivyo leta mrejesho!!
Nadhani relay ndo itakuwa nashida ata mi yangu ilikuwa hivyo ilikuwa inawaka lakin komplesa aingurumi nilichofanya nikaunga direct,nikiwasha tu on kwenye socket komplesa linaanza kuungurumaCompressor haiungurumi kk mkubw.....
Sawa nitafanya hivyoSio vyema saana bwana mikumiyetu kuunganisha direct hapo tafuta relay nyingine uirudishie..........!