Joke of the week – UDOM effect

Rio Tinto

JF-Expert Member
Sep 18, 2014
777
451
CHEZEA GENIUS:
Mtoto: Mwalimu mimi nataka
nisome darasa la 4 kwani hili la 2 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?
Mtoto: Nina akili...
Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni haya....
Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 157 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi?
Dogo: Yatabaki 156.
Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka tembo
kwenye friji.
Dogo: Unafungua friji unamuweka tembo kisha unafunga.
Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka nyani
kwenye friji.
Dogo: Unafungua friji unamtoa tembo ulemuweka..unamueka nyani kisha unafunga friji.
Mwalimu: Kuna sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa simba, wanyama wote wameenda kasoro mmoja. Ni nani na kwa nini?
Dogo: Ni nyani kwa sababu tumemuweka
kwenye friji.
Mwalimu: Bibi kizee amevuka mto unaokuwaga na mamba na viboko wakali, aliwezaje?
Dogo: Aliweza kwani mamba na viboko nao walienda kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa simba.
Mwalimu: Ingawa bibi kizee alivuka mto, baadae alikufa. Unadhani kwa nini?
Dogo: Alidondokewa na lile tofali tulotoa kwenye ndege na kutupa chini.
Mwalimu mkuu: Mwalimu "Huyu Mtoto
akasome UDOM........"


Sent as received
 
Bange zako peleka huko monduli kwa lowasa
"Life ni fupi nami sijivungi,baa baa banjuka tu,life ni fupi nami sijivungi,banjuka banjuka juuu!"
jifunze kucheka hata kidogo,ukifa uko uendako hutoenda na c.c.m yako wala mie na ukawa yangu!relax!mbona nape anakula bata na akikutana na lowasa wanasalimiana,sasa wewe mvimba macho unapaniki na kuvimba kifua...NONSENSE!
 
Huyu ni mmoja wa kikosi cha IT cha CCM, kilichoundwa mwaka Jana.

Hizi ndio athari za kutolipwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom