Ndio maana wakifikaga 3rd floor akili zinawarukaMaisha yanaenda kasi kweli Amekua lishangazi skuhizi
Nitahama hii nchi ya vidole juuView attachment 2927475
"Tutakwenda kuhakikisha tunaongeza ushiriki wa Wanawake kwenye hizi chaguzi kwa Wanawake wenyewe kugombea. Ufike mwisho wakati wa Wanawake kuwa ndugu watazamaji na wasindikizaji na ifike mwisho Wanawake kuwa ni sehemu ya kuwapigia kura Wanaume wakati ninyi mna uwezo wa kugombea". Jokate Mwegelo Katibu mkuu UWT
UWT = Umoja wa Wanawake Tanzania
CCM
Baada ya vyeo watu hujisahau..Huo ni Ubaguzi wa Kijinsia 😯 huyu Msichana anawazimu?
Huyu sio msichana tena, noa akili zako vizuriHuo ni Ubaguzi wa Kijinsiahuyu Msichana anawazimu?
Sasa itakuaje Kwa Kassimu Majaliwa?View attachment 2927475
"Tutakwenda kuhakikisha tunaongeza ushiriki wa Wanawake kwenye hizi chaguzi kwa Wanawake wenyewe kugombea. Ufike mwisho wakati wa Wanawake kuwa ndugu watazamaji na wasindikizaji na ifike mwisho Wanawake kuwa ni sehemu ya kuwapigia kura Wanaume wakati ninyi mna uwezo wa kugombea".
Jokate Mwegelo
Katibu Mkuu- Umoja wa Wanawake Tanzania, CCM (UWT)
KwakweliAcha mtu aongee ujue ujinga wake...