Jokate Mwegelo na Luka 12:27

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Maua yapendeza kuona, Suleiman katika fahari yake yote lakini hakuvikwa vizuri kama Moja WaPo ya hayo Maua.

Itoshe kusema kwamba Jokate Ni ua Zuri lipendezalo.


" Her extremely beauty should be prescribed by medical doctors for happiness"

jokatemwegelo_1645181763619269.jpg
 
Mkuu, uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtazamaji. Hongera kwa kumuona mzuri, wengine tunamuona wa kawaida sana
Hayo ni maneno ya kumfariji mwanamke mwenye sura personal wakati upo horny ili asikunyime papuchi.

Uzuri wa mwanamke ni universal
 
Ila kusema la ukweli Tanzania na africa kwa ujumla tunaishi kwa kukariri mno yaani sijui tatizo liko wapi mfano huyo jokate ni pozi kali ila hata kama ana miaka mingi hajaolewa tatizo liko wapo kama mnaamini kila kitu ni mpango wa mungu .

Ukienda nje hawasemani huo upuuzi mfano rihanna ndo anatarajia mtoto wa kwanza kwa age ya 33

Basi mwacheni kwa uzuri ni mkali sana mwacheni final kila mtu atakufa familia ,majumba ,mali na watoto tunaacha mwacheni
 
Back
Top Bottom