Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,209
Asikuambie mtu Urais mtamu..unakula vitamu
Sana tuu!!!Haahaaa.....kuna watu humu wanatamani kujimurder kisa tumerudi
Kiba lazima awe mpoleAsikuambie mtu Urais mtamu..unakula vitamu
Kuna mademu wa kula nao gud tym na wanawake wa kuoa
Duh watu mnaoona mbali hatimae kapewa ukuu bhanaYani daaah. Na nasikia jamaa yake anahonga balaa. Miaka mingapi iliyobaki ikiisha Jojo atakua Jack Mengi na yeye kama akicheza vizuri