JOIN IN MYSQLI

JOIN IN MYSQLI

Bro za masiku, hivi ile IDE uliyo-develop kipindi kile bado upo nayo, nilipotezaga kompyuta iliharibika.
Salama sana. Ipo bado. Ina undergo nadhani ni third or more rewrite ambayo naamini ikiisha itakuwa imefuzu kupambana katika soko na kina PHPStorm 🙂

Ngoja nikupigie screenshot moja. Developer preview inaweza kutoka December kama Mungu akitupa uhai. Hiyo version Itakuwa free!
 
Screen Shot 2019-09-06 at 10.13.07 PM.png
 
====
Mkuu unaonaje kama humu tunaweza kuanzisha forum kama hii kusaidia watu kwenye ICT? mimi ni specialist katika Database design, development na administration. Pia nimedeal na networking, business intelligence na data warehousing nakadhalika. Nawe pia unao ujuzi wako, na wengine pia. Tukiungana tunaweza kutoa faida sana kwa ndugu zetu kuliko kila siku kuongea siasa na mahusiano....
Unasemaje mkuu?
Sio tu kuanzisha forum humu tu,
Hata kutengeneza Forums nyingine inawezekana ambayo ita deal na Tech issues

Long nawaza ivo ila nakosa developers

Hizo screenshot chini,ni kazi niliyoianza ya Social network ila nimeipiga chini kwa kukosa support
(Huwezi codes kila kitu mwenyewe)

Tunaweza fanya ivo,tukaibadili ikawa Tech forum?
why6.PNG
why3.PNG
why7.PNG
why2.PNG
 
Unajua kuwa humu tumo member wa Stackoverflow? Acha dharau wewe raia!
Wewe unaweza kuwa Member wa Stackover flow,
Ukamjibu swali lake kwa ufasaha tu

Ila Sio wote humu ni members wa Stackover flow lakini nao pia wanaweza kumjibu wanavyoona sawa tu hata Kama Sio sawa,na kwakua hajui atachukua majibu Yao

Humu Kuna watu wanauliza mpka jinsi ya ku download Movie kwenye Pc,
Hao nao wakimjibu itakuaje?

Maswali basic Kama yake Sio ya kuuliza humu.atachelewa sana
 
Wewe unaweza kuwa Member wa Stackover flow,
Ukamjibu swali lake kwa ufasaha tu

Ila Sio wote humu ni members wa Stackover flow lakini nao pia wanaweza kumjibu wanavyoona sawa tu hata Kama Sio sawa,na kwakua hajui atachukua majibu Yao

Humu Kuna watu wanauliza mpka jinsi ya ku download Movie kwenye Pc,
Hao nao wakimjibu itakuaje?

Maswali basic Kama yake Sio ya kuuliza humu.atachelewa sana
Hiyi ya kuchambua majibu itakuwa kazi ya serikali ya kichwa chake
 
Back
Top Bottom