Hazeekagi huyo,halafu mbabe sana.
Analiwa au hadindishi?
aliwahi kuwa na uhusiano wa kihomosexual na rubani wake....
siwezi kuweka picha kwa sababu za kimaadili ukimtafuta google utamuona
E bana hapo home au airport?
Kuna watu duniani wanaishi maisha.
![]()
![]()
Pamoja na yote haya huyu jamaa ni mwanaume ''SI RIZKI"[/QUOTE kzba Aaaa.. hata JNIA nchini haijaifikia !! Aibu!