John Travolta anapaki ndege nyumbani kama vile ni magari

Synthesizer

Platinum Member
Feb 15, 2010
12,265
21,443
Kipimo changu cha jinsi nchi yangu Tanzania ilivyo masikini ni pale ninapokumbuka kwamba pato letu la taifa kwa mwaka liko chini ya mapato ya matajiri wengi tu duniani. Yaani, kuna watu wanapata fedha nyingi kwa mwaka kuliko ile ambayo Tanzania inakusanya, pamoja na juhudi na kubana sana watu walipe kodi. Wanaweza hata kutuambia tupange bajeti halafu tuwapelekee bili ili walipe!

Hebu fikiria kama nchi tuna-struggle kununua tu-ndege tuwili toka Kanada wakati mwigizaji wa movie John Travolta ana ndege zake binafsi za kutembelea sita, na anazipaki nyumbani kama magari!

upload_2016-7-8_10-43-56.png

John Travolta loves flying so much that he lives in a community in Florida dedicated solely to pilots, and has a private runway right in front of his house. He has his jets parked in his driveway!
 
Duniani sisi ni wasindikizaji.... ni kweli kuna watu wanaweza lipa cheque bajeti yetu ya mwaka lakini hawana uwezo wa kununua resources zetu tulizo nazo kama nchi. .... tunakuwa wasindikizaji kwa sabb za ulofa wa viongozi wetu..... kuto kuwa tayari kujifunza kutokana na makosa waliyo tenda watangulizi wetu na ku set njia bora ya kuhakikisha tz kama nchi tunasonga mbele
pamoja kwa uhuru, haki na upendo....
 
Kwani huli?

Unajali kula tu? Unanikumbusha wakati fulani zamani, katika vipindi vya salamu Radio Tanzania, kulikuwa na ujumbe watuma salamu waliupenda sana, ambao nadhani ulituharibu sana Watanzania katika kufikiri kwetu; "kula na kulala ndio mtindo wa kisasa"

Hadi leo nashindwa kuelewa iweje watu na akili zao walitumiana ujumbe kama huo.
 
a
Kipimo changu cha jinsi nchi yangu Tanzania ilivyo masikini ni pale ninapokumbuka kwamba pato letu la taifa kwa mwaka liko chini ya mapato ya matajiri wengi tu duniani. Yaani, kuna watu wanapata fedha nyingi kwa mwaka kuliko ile ambayo Tanzania inakusanya, pamoja na juhudi na kubana sana watu walipe kodi. Wanaweza hata kutuambia tupange bajeti halafu tuwapelekee bili ili walipe!

Hebu fikiria kama nchi tuna-struggle kununua tu-ndege tuwili toka Kanada wakati mwigizaji wa movie John Travolta ana ndege zake binafsi za kutembelea sita, na anazipaki nyumbani kama magari!

View attachment 364129

John Travolta loves flying so much that he lives in a community in Florida dedicated solely to pilots, and has a private runway right in front of his house. He has his jets parked in his driveway!
anajisikiaje akimwona mototo anakufa kwa aajili ya njaa sudan ya kusini,,Nicaragua au makete? mwisho wa siku ubatili mtupu
 
i.... ni kweli kuna watu wanaweza lipa cheque bajeti yetu ya mwaka lakini hawana uwezo wa kununua resources zetu tulizo nazo kama nchi. .... tunakuwa wasindikizaji kwa sabb za ulofa wa viongozi wetu.....
Naomba comment yako aione JPM ataifanyia kazi maana yuko determined kuleta mabadiliko
 
Duniani sisi ni wasindikizaji.... ni kweli kuna watu wanaweza lipa cheque bajeti yetu ya mwaka lakini hawana uwezo wa kununua resources zetu tulizo nazo kama nchi. .... tunakuwa wasindikizaji kwa sabb za ulofa wa viongozi wetu..... kuto kuwa tayari kujifunza kutokana na makosa waliyo tenda watangulizi wetu na ku set njia bora ya kuhakikisha tz kama nchi tunasonga mbele
pamoja kwa uhuru, haki na upendo....
huu ni ukweli mkuu
 
Kipimo changu cha jinsi nchi yangu Tanzania ilivyo masikini ni pale ninapokumbuka kwamba pato letu la taifa kwa mwaka liko chini ya mapato ya matajiri wengi tu duniani. Yaani, kuna watu wanapata fedha nyingi kwa mwaka kuliko ile ambayo Tanzania inakusanya, pamoja na juhudi na kubana sana watu walipe kodi. Wanaweza hata kutuambia tupange bajeti halafu tuwapelekee bili ili walipe!

Hebu fikiria kama nchi tuna-struggle kununua tu-ndege tuwili toka Kanada wakati mwigizaji wa movie John Travolta ana ndege zake binafsi za kutembelea sita, na anazipaki nyumbani kama magari!

View attachment 364129

John Travolta loves flying so much that he lives in a community in Florida dedicated solely to pilots, and has a private runway right in front of his house. He has his jets parked in his driveway!

Mathayo 16:26
,,lakini mtu anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata. Je, mtu atafaidi nini akiupata utajiri wote wa ulimwengu na hali amepoteza maisha yake? Au, mtu atatoa kitu gani kiwe badala ya maisha yake? "
 
Mathayo 16:26
,,lakini mtu anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata. Je, mtu atafaidi nini akiupata utajiri wote wa ulimwengu na hali amepoteza maisha yake? Au, mtu atatoa kitu gani kiwe badala ya maisha yake?"
Ndugu kila kitu kina mahala pake babuee
 
Kipimo changu cha jinsi nchi yangu Tanzania ilivyo masikini ni pale ninapokumbuka kwamba pato letu la taifa kwa mwaka liko chini ya mapato ya matajiri wengi tu duniani. Yaani, kuna watu wanapata fedha nyingi kwa mwaka kuliko ile ambayo Tanzania inakusanya, pamoja na juhudi na kubana sana watu walipe kodi. Wanaweza hata kutuambia tupange bajeti halafu tuwapelekee bili ili walipe!

Hebu fikiria kama nchi tuna-struggle kununua tu-ndege tuwili toka Kanada wakati mwigizaji wa movie John Travolta ana ndege zake binafsi za kutembelea sita, na anazipaki nyumbani kama magari!

View attachment 364129

John Travolta loves flying so much that he lives in a community in Florida dedicated solely to pilots, and has a private runway right in front of his house. He has his jets parked in his driveway!
Jina la bwana libarikiwe sana
 
i.... ni kweli kuna watu wanaweza lipa cheque bajeti yetu ya mwaka lakini hawana uwezo wa kununua resources zetu tulizo nazo kama nchi. .... tunakuwa wasindikizaji kwa sabb za ulofa wa viongozi wetu.....
Naomba comment yako aione JPM ataifanyia kazi maana yuko determined kuleta mabadiliko
Huku hawachukui comment za hivyo huku wanaangalia nani tunamsema sana apewe cheo
 
Sio mbaya tukimjua walau kwa ufupi.
John Joseph Travolta (amezaliwa tar. 18 Februari 1954) ni mwigizaji, dansa na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Ameanza kujulikana kwa mara yake ya kwanza kunako miaka ya 1970, baada ya kuonekana katika mfululizo wa televisheni. Mfululizo huo niWelcome Back, Kotter na nyota katika filamu zenye mafanikio makubwa kabisa ya Saturday Night Fever na Grease. Kazi za Travolta zilianza kuvuma tena kwenye miaka ya 1990, kupata kucheza katika filamu ya Pulp Fiction, na tangu hapo akawa anaendelea kuwa nyota wa filamu za Hollywood films, katika Face/Off,Ladder 49 na Wild Hogs.
1467968204882.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom