Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
We nawe!!!? Kwani kutembea kwa miguu ni kutelekezwa? maajabu mengi duniani, hili nalo sijui tulitangazie lipigiwe kura?? lol
kutoka jasho dar es salaam kitu cha kawaida.kituoni anamsubili dreva wake.kipi cha ajabu?mia
Jamani kama upo maeneo ya mwenge kituoni nimemuona J.shibuda
akisubili daladala nilitaka kumpiga picha ili niwawekee hapa lakini simu yangu ya tochi
Kama nimemfananisha am sorry lakini alikuwa anatokwa na jasho ile mbaya
Jamani Chadema mbona mnamtelekeza mbuge wenu?