Gazeti la Mtanzania 13 December 2010 limemnukuu Shibuda akilalamika kuwa mbowe ni Dikteta na anawaburuza na anajenga makundi badala ya umoja ndani ya chama
"hali ilikwishachafuka, Mbowe anaendesha vikao kwa ubabe, kuhujumiana, kubomoana na kujenga makundi... ule ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa wajumbe watano wa kamati kuu, lakini ukatanguliwa na hicho kikao cha kuvunjiana heshima, ilibidi nitoe jina langu" alisema Shibuda.
Shibuda kama ulikuwa hujui huyo ndio Mbowe.

yalisemwa haya na mengi yatatokea tusubiri
ili chadema kikue mwanzoni lazima kiwe na madikteta kama mbowe, otherwise kitakufa kabla ya wakati...big up mbowe...unataka uje leo uingie mpaka uvunguni?
Nyerere alikufikisha wapi kimaendeleo kubadilisha mifumo ya kiuchumi mara tatu...sorry mkuuMbowe kaza buti ukiona wachache wanalalamika ujue utendaji wako superb, Tanzania hii hakuna aliyekuwa dikteta kama nyerere, ilikuwa ukibishe unafichwa kusikojulikana lakini tulishuhudia mafanikio yake kuijenga Tanzania. Mbowe hana udikteta wa kumfikia nyerere.Waangalie CCM wameweka pembeni udikteta lakini wako wapi???? kila siku makundi yanajitokeza.
Amini usiamini udikteta ni muhimu kwa kiwango fulani na mahali fulani kama anavyofanya Mbowe kwa sasa.BIG UP MBOWE