John Shibuda: Mbowe ni dikteta

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Gazeti la Mtanzania 13 December 2010 limemnukuu Shibuda akilalamika kuwa mbowe ni Dikteta na anawaburuza na anajenga makundi badala ya umoja ndani ya chama

"hali ilikwishachafuka, Mbowe anaendesha vikao kwa ubabe, kuhujumiana, kubomoana na kujenga makundi... ule ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa wajumbe watano wa kamati kuu, lakini ukatanguliwa na hicho kikao cha kuvunjiana heshima, ilibidi nitoe jina langu" alisema Shibuda.

Shibuda kama ulikuwa hujui huyo ndio Mbowe.
 
Hata kama Mbowe ni dikteta kweli, rants kwenye vyombo vya habari hazisaidii kitu, zinaongeza tatiozo tu.

CHADEMA, as they say in the hood, don't never say Kiranga never warned you.
 
Hivi gazeti gani tena hili ?? Nobody asked u to join CDM u did it coz ulizidiwa kete wherever u were ! So pls flip ur tail n go back where u truly belong
 
Gazeti la Mtanzania 13 December 2010 limemnukuu Shibuda akilalamika kuwa mbowe ni Dikteta na anawaburuza na anajenga makundi badala ya umoja ndani ya chama

"hali ilikwishachafuka, Mbowe anaendesha vikao kwa ubabe, kuhujumiana, kubomoana na kujenga makundi... ule ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa wajumbe watano wa kamati kuu, lakini ukatanguliwa na hicho kikao cha kuvunjiana heshima, ilibidi nitoe jina langu" alisema Shibuda.

Shibuda kama ulikuwa hujui huyo ndio Mbowe.

Hilo gazeti la Mtanzania ni gazeti la fisadi RA litaandika nini zaidi ya kutaka mgogoro uibuke CHADEMA.? MAFISADI UKIWEMO NA WEWE USHER SIJUI ASHA ,MSHINDWE NA MLEGEE
 
Huyu mze si alitaka kugombea uraisi kupitia sisiemu. anataka kutuambia yeye anaonewa kila mahali. Oh shit.. source Mtanzania!!!!.. to hell
 
ili chadema kikue mwanzoni lazima kiwe na madikteta kama mbowe, otherwise kitakufa kabla ya wakati...big up mbowe...unataka uje leo uingie mpaka uvunguni?
 
Shibuda - kwa nini ulitoka ccm?
Kumbuka duniani hakuna kiongozi asyekuwa na udikteta wa aina fulani. Mara nyingi mtu mkitofautiana anaweza kukupachika jina lolote lile?
Kama hayo uliyosema ni kweli, hukupaswa kuondoa jina lako, ungesubiri kura ukaona ungepata ngapi - labda ungeshinda.
Angalia Shibuda - inawezekana kuna uliyokuwa unalazimisha huko ccm yakashindikana ndipo ukakimbilia cdm ukitegemea yale uliyoyalazimisha ccm wakayakataa cdm watayakubali; sasa cdm nao wameyakata! - Yawezekana wewe ndiyo dikteta!
Unakumbuka Mbowe amekuwa mwenyekiti wa cdm kwa muda gani sasa? Ni mafanikio gani amekiwezesha chama kupata katika kipindi cha uenyekiti wake?
 
You (we) Tanzanians need no less than an iron-fist kind of treatment to come back to y(our) lost senses!
Nyerere was branded a dictator too, wasn't he? But for a good course!

Dogo wangu Mbowe, you keep on playing hard ball stuff my man. The sleeping population of this blessed nation need just that.
Wish we had 10 hard men like you!
 
Gazeti la Mtanzania 13 December 2010 limemnukuu Shibuda akilalamika kuwa mbowe ni Dikteta na anawaburuza na anajenga makundi badala ya umoja ndani ya chama

"hali ilikwishachafuka, Mbowe anaendesha vikao kwa ubabe, kuhujumiana, kubomoana na kujenga makundi... ule ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa wajumbe watano wa kamati kuu, lakini ukatanguliwa na hicho kikao cha kuvunjiana heshima, ilibidi nitoe jina langu" alisema Shibuda.

Shibuda kama ulikuwa hujui huyo ndio Mbowe.

Mkuu ningependa unielimishe ukiacha nafasi ya ubunge, je SHIBUDA ana cheo gani ndani ya CHADEMA? au ni mjumbe wa kikao kipi na alichaguliwa lini?
2. si ndio huyu huyu SHIBUDA mwenye uchu wa nyama aliyekwenda kwenye mnuso wa uzinduzi wa bunge wakati wenzake walimwacha mkwere akae na wasanii wenzake wachekecheke vizuri? sasa mtu mwenye uchu wa nyama unategemea nini kutoka kwake? labda tumshauri MBOWE awe anchinja mbuzi kila wiki kuwafurahisha wenye uchu wa nyama.
 
kwa kweli bwana wa wapuki ameanza zile tabia zake za kule

ila jua ndio unakiua chama hivyo bwa mdogo chama ni wanachama na viongozi

usidhani ubabe ndio unaoongoza chama, kwa hakika nnaamini kama uchaguzi ungefanyika kesho basi chadema mngejua ni kiasi gani watanzania walivyochoka na hayo mnayoyafanya
 
yalisemwa haya na mengi yatatokea tusubiri

na badala ya wao kukaa kutengeneza mechanism za kutatua haya na kuzuia mengine yasitokee, wapo bize kuandika article mbaya kuhusu zitto, wakidhani ndio dawa, leo kaibuka shibuda kesho atakuja sugu, kesho kutwa wale akina dada wa mwanza.
 
Udikteta muhimu kwenye mambo ya msingi. Ili CDM iendelee inahitaji kiongozi aneweza kuamua na kusimamia kile alichoamua. Kama Shibuda hukuchunguza kabla ya kujiunga CDM,
Unalo hilo. Maamuzi ya kuogopana ndio yanayozamisha Taifa.
Keep it up F.I. Mbowe
 
Mbowe kaza buti ukiona wachache wanalalamika ujue utendaji wako superb, Tanzania hii hakuna aliyekuwa dikteta kama nyerere, ilikuwa ukibishe unafichwa kusikojulikana lakini tulishuhudia mafanikio yake kuijenga Tanzania. Mbowe hana udikteta wa kumfikia nyerere.Waangalie CCM wameweka pembeni udikteta lakini wako wapi???? kila siku makundi yanajitokeza.

Amini usiamini udikteta ni muhimu kwa kiwango fulani na mahali fulani kama anavyofanya Mbowe kwa sasa.BIG UP MBOWE
 
mnapoteza muda, mnamjadili Shibuda??? Tena kwa source ya Mtanzania? Thread yenyewe imewekwa na mmoja wa waleta craps jamvini!! Ngoja mi nipunguze usingizi ili nikatazame game ya nanyu na asenali kwa raha zangu
 
Mbowe kaza buti ukiona wachache wanalalamika ujue utendaji wako superb, Tanzania hii hakuna aliyekuwa dikteta kama nyerere, ilikuwa ukibishe unafichwa kusikojulikana lakini tulishuhudia mafanikio yake kuijenga Tanzania. Mbowe hana udikteta wa kumfikia nyerere.Waangalie CCM wameweka pembeni udikteta lakini wako wapi???? kila siku makundi yanajitokeza.

Amini usiamini udikteta ni muhimu kwa kiwango fulani na mahali fulani kama anavyofanya Mbowe kwa sasa.BIG UP MBOWE
Nyerere alikufikisha wapi kimaendeleo kubadilisha mifumo ya kiuchumi mara tatu...sorry mkuu
 
CDM hawaoni makosa ya baba yao Mbowe, they will try to justify his every move....the guy is a crook. The party now needs a strong visionary leader not this thug....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom