Ukiangalia kwa makini watu hawa wanafanana kwa tabia na hulka zao...
1. Lowassa 2. John Pombe na 3.Mrema
Kwenye misifa wanaweza hata kutukana wazazi wao..... Eti Mrema nae ghafla anaona posho hazikutolewa kwa kuangalia hali ya Watanzania walio wengi... wakati alikuwa mtetezi namba moja wa posho za Wabunge... siasa hizi......:A S embarassed:
Nadhani kama ana Busara Bora watu wake wa karibu wamwambie asome hii topic ili aweze Kujirekebisha kwani anabwabwaja hata mambo yasiyomuhusu!! Kuhusu Hasara alizosababisha kwa Taifa ni Nyingi!! Kwanza ni ile ya samaki wa Magufuli!! Samaki Hawa walitunzwa pale Mwenge Kwenye Kiwanda cha Bahari sea foods Kwa Garama ya zaidi ya Bilioni 1.6, Hizi ni hela nyingi ambazo zingeweza kutukwamua kwenye Matatizo tuliyonayo kama Taifa!! Nyingine ni hasara iliyopatikana pale Mwanza baada ya kuvunja petrol station kwa Jazba!! Pale imelipwa fidia ya zaidi ya 3.2 billions!! Zipo hasara Nyingi ambazo hatuzioni Kabisa!! ila kasabisha huyu mweshimiwa!! Tunamuomba awe na ustaarabu zaidi!!
....mbona ninyi huwa mnaponda magamba lakini hakuna mtu anayewaona kama ni hopeless
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.
Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia kafiri kupitiliza, hadi unampa kero.
Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.
Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.
Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.
Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell
I was not aware of all these figure. Mimi simtetei, lakini naoenda, kama great tyinkers, tuwe obkjective. Good for informing us on his negetaive side. However, if you want to be an objective minded great thinker, you can not present one sided data only. Go ahead and give us the data on faida alizoleta kwa Taifa hili. we are waiting to read from you
Magufuli the Great songa mbele usivisikilize hivi visisimizi! Vimekereka kwa sababu umeviponda endelea kuvipa live, vinataka kusifiwa tu bila kukosolewa. Usirudi nyuma tupo wengi sana tunaokuunga mkono. Vibaraka wa chache tena with no adress ndo vinaleta maneno ya maliwatoni. Wachambishe hao wataisoma namba.
Kabla ya 2015 tutayasikia mengi...
Sichangii mada.
Faida muulize mwajili wake. Nasikia ni mzuri sana wa rap za kusifia maraisi walioko madarakani. Alimsifia sana mzee wa shingo la kiboko kuwa amejenga barabara za rami. Baada ya kuondoka madarakani, akazihamishia kwa mzee wa trip ya ughaibuni. Narudia tena, faiada zake muulize boss wake aliyempa ulaji.
Achen ujinga vijana kwa wazee.mbona mnang'ang'ania vyama na kusahau chama ni kama kokoro tu.kinaweza beba watu wazur na wabaya pia.ebu waache wao watupiane majungu.shida yetu wafanye kazi.ivi unaweza ukaacha kumpa maguful kaz et kwa sababu kaitukana chadema? U WIL BE MAD AISEE