Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Magufuli anaweza kushinda lakini tutapata Tabu sana na Aina yake ya uongozi ya kutoamini wenzake na kujiona bora akileta mambo ya wizara ya ujenzi na huko tanroad ikulu hataiweza Ile ni taasisi ..,
Kingine ni utata wa Uraia Hasa wa baba yake ...Ambaye alikuwa muhamiaji Kama alipata kuhalalisha Uraia wake ..Je wakati wa Uhuru Tayari alikuwa Tanganyika ??? Inajulikana pamoja na mazuri aliyofanya Magufuli chato hupata upinzani tu kwakuwa humuona yeye Kama wa Kuja ...Hana babu chato!
MADAI KUWA alipokuwa kijana alipata kurukwa na akili nayo yanachanganya wafuatiliaji ..Hasa ukizingatia Baadhi ya vitendo anavyofanya majukwaani ..sio vya hadhi ya Uraia ...Kama kutokea dirishani badala ya mlangoni..kutosikiliza wenzake Hasa walinzi ...kuruka Ruka bila mpangilio na kupiga push-ups ......haijapata kutokea Mgombea wa hadhi ya Urais Kufanya Hiyo ...
Mwaka huu tuamue Kama tutaongozwa na a Proven Mental case AU physically weakened but articulate ....person ...Kama kibaki alivyoongoza kuitoa KANU madarakani akiwa taabani kwenye wheelchair HUKU akili ikiwa timamu
Na Kati ya mambo yanayotuletea Laana uchaguzi wa Mwaka huu ni kuingilia kazi ZA Kimungu ....na kumpangia Nani anayepasa kumfuata ...hili Toka kampeni zinaanza tulilipigia sana kelele ....
Tuombe Mungu taupe atakayetupa Kati ya hao ...na atakayeshindwa akubali Matokeo kwakuwa kupinga Matokeo AU kuzuia chaguo lake itakuwa kilio na Kusaga meno
Miqka nane baadae komenti yako bado inaishiHata mimi kanitoka kweli, zamani nilikuwa nampenda lakini jinsi anavyoushambulia upinzani nimeona ni....
Magufuli anaweza kushinda lakini tutapata Tabu sana na Aina yake ya uongozi ya kutoamini wenzake na kujiona bora akileta mambo ya wizara ya ujenzi na huko tanroad ikulu hataiweza Ile ni taasisi ..,
Kingine ni utata wa Uraia Hasa wa baba yake ...Ambaye alikuwa muhamiaji Kama alipata kuhalalisha Uraia wake ..Je wakati wa Uhuru Tayari alikuwa Tanganyika ??? Inajulikana pamoja na mazuri aliyofanya Magufuli chato hupata upinzani tu kwakuwa humuona yeye Kama wa Kuja ...Hana babu chato!
MADAI KUWA alipokuwa kijana alipata kurukwa na akili nayo yanachanganya wafuatiliaji ..Hasa ukizingatia Baadhi ya vitendo anavyofanya majukwaani ..sio vya hadhi ya Uraia ...Kama kutokea dirishani badala ya mlangoni..kutosikiliza wenzake Hasa walinzi ...kuruka Ruka bila mpangilio na kupiga push-ups ......haijapata kutokea Mgombea wa hadhi ya Urais Kufanya Hiyo ...
Mwaka huu tuamue Kama tutaongozwa na a Proven Mental case AU physically weakened but articulate ....person ...Kama kibaki alivyoongoza kuitoa KANU madarakani akiwa taabani kwenye wheelchair HUKU akili ikiwa timamu
Na Kati ya mambo yanayotuletea Laana uchaguzi wa Mwaka huu ni kuingilia kazi ZA Kimungu ....na kumpangia Nani anayepasa kumfuata ...hili Toka kampeni zinaanza tulilipigia sana kelele ....
Tuombe Mungu taupe atakayetupa Kati ya hao ...na atakayeshindwa akubali Matokeo kwakuwa kupinga Matokeo AU kuzuia chaguo lake itakuwa kilio na Kusaga meno
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.
Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia kafiri kupitiliza, hadi unampa kero.
Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.
Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.
Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.
Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell