John Pombe Magufuli unatuchefua

Mwisho wa mafisad October 25, 2015.

Tanzania tutaandika historia mpya.

Chagua magufuli tufanikishe hili.
 

Huyo ndio rais tunaemtaka watanzania "Rais Mbabe" hatutaki mtu anayejinyea kwenye nguo. Utatoa mapovu sana mdomoni lakini MAGUFULI ndio rais wako mpya. Upende, usipende MAGUFULI ndio rais wako, anasubiria tu kuapishwa. Mbona mtakoma mwaka huu! #HapaKaziTu
 

Mbona mama yako anasuguliwa mpaka anajinyea au huna taarifa
 
Mletamada , afadhali yako wewe anakuchefua tu, mimi ananitapisha!

Mwanaume rijali ni lazima awachefue na kuwatapisha. Na bado mtatapika sana, huyu ni mwanaume sio kama yule anayejinyea kwenye nguo.
 
Narudia tena,watanzania wenzangu kuna lipi la ccm kuendelea kutawala hii nchi?
 

Ume panic vibaya sana... Na bado .... Huyo ndiyo Magufuli Tingatinga ..... Wewe pia me kura yako...
 

Prophecy coming to reality.

4years way back now time for fulfilment.
 
Hili onyo lilitolewa siku nyingi kama unabii vile
 

Unabii huu tunautimiza 25th.
 

Wakati mwingine unaweza ukasikia kichefuchefu kama unaharisha na ukawa umekosa maji na si kwa sababu ya magufuli HEBU jikague vizuri
 
Wakati mwingine unaweza ukasikia kichefuchefu kama unaharisha na ukawa umekosa maji na si kwa sababu ya magufuli HEBU jikague vizuri

Duh, we jamaa una hasira za karibu sana
 
halafu mwongo kweli huyu jamaa eti alitumiwa email na Kigoda akiwa ICU!!! is it?
 
Ndio mkome endeleeni kuchefuka, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…