John Pombe Magufuli unatuchefua


wewe ni mpuuzi mjinga mkubwa usiepaswa hata kusikilizwa na jopo la vichaa ulichoandika ni upuuuzi na ujinga rudi kwenu porini kalime viazi
 

mkuu vipi saiz haiwez kuipata kura yako kwel???
 
Kwakweli kwa hali ilivyosasa wengi hatutamani raisi atokee ccm, hapa tulipo ni kwasaabu ya ccm so tunatamani kuona upande mwingine wa uongozi. si Lowasa wala Magufuli tumewachoka wote

hahahhaa mkuu habar za miaka?
 
Huyu Pombe simfagilii hata kidogo,
1. anapenda sifa za kijinga.
2. anapenda kufanyia kazi majungu anayopelekewa.
3. ni roboti.
4. hashauriki.
5. ni fisadi

nawasilisha.:lol::lol::lol::lol:

Duuu mwanawane umefunguka!
 
 
 
ndo keshapewa sasa dada yangu Victoire nadhan do the needful umnyime kura
Mimi kura nampa Magufuli,note wakati wa mchakato sikupenda kabisa Magufuli,Lowasa wapite,ila kwa vile sasa wote wanagombea ,Lowasa kazidi ufisadi ndo maana nimeamua nimpe magufuli ambae walau ni msafi ukilinganisha na Lowasa
 
mimi wasiwasi wangu nadhali aliyeshinda kwenye kupitishwa kugombea miongoni mwa wale watatu alikuwa yule mama balozi kutoka USA maana ilishindikana vipi kuesabu kura 2000 tu,mpaka wakaharisha kesho yake?
 
Mimi kura nampa Magufuli,note wakati wa mchakato sikupenda kabisa Magufuli,Lowasa wapite,ila kwa vile sasa wote wanagombea ,Lowasa kazidi ufisadi ndo maana nimeamua nimpe magufuli ambae walau ni msafi ukilinganisha na Lowasa

Mkuu magufuli ndo rais hawa wanaotembea na maigizo ya kudeki barabara wanapoteza muda,hstutafuti wafanyazi wa manisipa,
 

Unazungumzia barabara za Tokyo!umewahi kuuliza hizi barabara za Magufuli ziko kwenye Category gani?ni aibu!

Huyu Magufuli nilikutana naye German akiwa kaja kwa medical check up,kwa kweli tuliongea vizuri sana na nikamuweka katika kundi la dignatiries lakini hivi sasa ninapomsikiliza nashindwa kujua amepatwa na nini!anaongea tofauti na tulipokutana.
 
Naomba kurudia. Lowassa kwa CCM ni mziki mnene sana. Wanaujuwa mziki wake. Wanajuwa ukali wa mikakati yake. Wanajuwa kuwa ni mtu wa maneno machache na mtu mwenye maneno machache utendaji wake ni mnene sana. Wanajuwa kwamba ni mtu alijejiandaa na yupo tayari kuingoza Tanzania. Wanajuwa tofauti na Magufuli, Lowassa aliota ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania siku nyingi,akaweka mipango na mikakati ya kuifikia ndoto yake. Hicho kinachoonekana sasa ni athari au "effects" za utekelezaji wa mipango au mikakati ya kufikia ndoto ya kuwa Rais. Hivi sasa CCM wanagombana na athari za mipango/mikakati yake. Mfano mzuri ni kama daktari kutibu mafua kwa mtu anayeumwa malaria badala ya kumpa mgonjwa "mseto" kuua wadudu wa maleria mwili. Hii kitu inayoitwa Mafuriko sio kitu kilichotokea kwa bahati mbaya. Hapana.Ni matokeo ya mipango na mikakati ya muda mrefu. Watamdharau na kumbeza kwenye majukwa lakini wanajuwa kuwa jamaa ana akili ndefu zinazomulika mbali kuona kule anakotaka kwenda na kuweka mipango ya kufika kule alikoona.CCM wakipiga hatua moja ya mkakati yeye anakuwa kesha piga hatua kumi. Sasa kama wana mikakati wa CCM ndio akina January na Mwigulu unaweza kuona mwenyewe hapo.

Matokeo yake ni nini? Ukishashindwa kimkakati na mwenzako na kuelemewa,unapaniki,unaanza kurusha ngumi. Na ngumi ni yale matusi tunayoshuhudia majukwaani siku hadi siku. Na leo nimeona hata Magufuli amepaniki kwenye swala la umeme. Asante Lowassa mengi tutayajuwa
 
Jamani izo zingine ni kashfa au ni umbea wa mjini tuu.
Ati una kashfa ya ubabe.
 

Kisaikolojia wewe ni kwamba umebabaika sana na sasa una waya waya tu! Kila chaka lina shetani wake na Magufuli ni shetani wa chaka la mafisadi yaani magufuli ni mzee wa kudeliver na style yake ya uongozi ni kiboko kwa watu wa aina yetu huku bongo ambao hatuwezi kufanya kazi wenyewe kwa hiari yetu hadi tukaliwe kooni. Kuna step tulipitishwa haraka haraka tukadhani tumekomaa kujisimamia kumbe bado tulihitaji kusimamiwa na kuelekezwa kabla ya kusimama wenyewe. Mwenye kipaji cha kutugeuza tuwe chombo cha ku deliver ni Magufuli peke yake maana haogopi mtu yeyote kwake kazi tu na kutoa na matokeo makubwa sasa. Haogopi, hachoki, hasahau, hatanii, hapotezi muda na yuko very focused. Waulize mafisadi wametimkia chadema kwa nini? Ni kwa sababu ya utisho wa Magufuli na kwamba hawana mkono katika kupatikana kwake hivyo they can't ever control him. Hapa kazi tu hayo mengine bakini nayo huko kwenye sewage system na dampo la taka za ccm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…