John Paul II - Picha ya leo

Huyu ndie alikua Papa, papa wa kweli!
Sio Benoit XVI, anae halalisha ukameruni
Mwali
Usiongee vitu usivyovijua!
Mara nyingine kukaa kimya inasaidia!
Unyamaze, la uweke ushahidi wa Benedict XVI kutoa ruksa ya hiyo maneno!
Kwanza Pope haitwi Benoit..huyo labda ni facebook!
 
Mwali
Usiongee vitu usivyovijua!
Mara nyingine kukaa kimya inasaidia!
Unyamaze, la uweke ushahidi wa Benedict XVI kutoa ruksa ya hiyo maneno!
Kwanza Pope haitwi Benoit..huyo labda ni facebook!
Hahahaha, wanchekesha. Benoit na Benedict kuna tofauti gani?
Au hujui jina lake linavo andikwa kwa kifaransa? usiropoke kaka!
Saa zingine wacha kuropoka kama tshiriku, Kukaa kimya kuna saidia!
Sasa msome hapa unambie kama hajaruhusu gay sex: reuter article
 
Alionekana mnyofu wa moyo toka nje hadi unaweza kumsoma alivyo ndani ya moyo wake.

Indeed was very humble and strong in his belief and executions...but with humanity sometimes we have to agree to move on. Nothing lasts forever and its the duty of everyone of us to scribe our own legacies, for better or worse
 
wapi amehalalisha?

Hajawahi kuhalalisha u cameron. Labda Anglican church. However, he took the papacy at the old age as compared to John Paul II, who started at 58 yrs and had energy and determination to accomplish with flying colors his mission.
 
Kwa mtazamo wangu sidhani kama atapatikana a catholic Pope kama POPE JOHN PAUL 11 katika karne hii. Ilikuwa ni zawadi si tu kwa kanisa katoliki bali kwa ulimwengu mzima. RIP POPE JOHN 11.
 

Kuruhusu condom na kuruhusu u cameroon sio vitu viwili tofauti Mwali?
 
Last edited by a moderator:
hili suala limeshatolewa ufafanuzi na vatcan. Inasemekana mwandishi wa habari alimnukuu vibaya kiongozi huyo wa kanisa catholic duniani. Ukweli ni kwamba hakuna sehemu yoyote aliyobariki ushoga au kondomu ni makosa ya mwandishi kusema amehalalisha uchafu huu.
 
hakuna Pope aliye wahi na haitatokea pope atakaye halalisha upuuzi huo,kama itatokea haitakuwa kwa RC.
 
Kuruhusu condom na kuruhusu u cameroon sio vitu viwili tofauti Mwali?
Kuruhusu condom for male partners only... :confused2: :noidea:
Kwangu there is an implicit recognition of gay sex, au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…