G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,276 Reaction score 38,847 Apr 6, 2025 #1 John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko. Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe? Mimi hata sijamuelewa Mrema. Au Pasco Pascal Mayalla umemuelewa? Emb muelezee alivyosema bila kuweka dhana zako?
John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko. Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe? Mimi hata sijamuelewa Mrema. Au Pasco Pascal Mayalla umemuelewa? Emb muelezee alivyosema bila kuweka dhana zako?
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,038 Reaction score 2,948 Apr 6, 2025 #2 HILO WIMBI UKISHALIKUSANYA UNALIWEKA WAPI
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,038 Reaction score 2,948 Apr 6, 2025 #3 Yaani mtachanganyikiwa tu, polepole dozi iwaingie
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,276 Reaction score 38,847 Apr 6, 2025 Thread starter #4 MwajabuOmary said: Yaani mtachanganyikiwa tu, polepole dozi iwaingie Click to expand... Hao kwenye picha yako ya avatar ni wanachama wa maccm? Maana yakikusanyana yanakuwa kama mimea
MwajabuOmary said: Yaani mtachanganyikiwa tu, polepole dozi iwaingie Click to expand... Hao kwenye picha yako ya avatar ni wanachama wa maccm? Maana yakikusanyana yanakuwa kama mimea
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,038 Reaction score 2,948 Apr 6, 2025 #5 G Sam said: Hao kwenye picha yako ya avatar ni wanachama wa maccm? Maana yakikusanyana yanakuwa kama mimea Click to expand... Du people are discussing members avatar, tutafika mbinguni tunaweweseka. Ok fine hayo ni mananasi na usinichanganye na hicho chama chako, sijawahi na haitatokea asilani
G Sam said: Hao kwenye picha yako ya avatar ni wanachama wa maccm? Maana yakikusanyana yanakuwa kama mimea Click to expand... Du people are discussing members avatar, tutafika mbinguni tunaweweseka. Ok fine hayo ni mananasi na usinichanganye na hicho chama chako, sijawahi na haitatokea asilani