Huenda hiyo account ilikuwa ya mtu binafsi then akawa anaitumia kwa ajili ya chadema.Kweli CHADEMA ilikuwa ni shamba la bibi.
John Mrema alijimikishia Chadema Media TV
Automatically kwa hatua yake ya kuhama chama, na hiyo media nayo atatakiwa kuachana nayo. Kinyume na hapo ataonekana ni mtu mwenye matatizo makubwa ya akili.Kwahiyo karudisha au kanyang'anywa ndiyo maana anaona aibu kaamua kukimbia?
Na atakuwa kainyonyoa sana kawaachia manyoya tuAutomatically kwa hatua yake ya kuhama chama, na hiyo media nayo atatakiwa kuachana nayo. Kinyume na hapo ataonekana ni mtu mwenye matatizo makubwa ya akili.