John Mnyika wasaidie waliobomolewa makazi yao

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
MNYIKA.jpg

Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.
 
Yuko bize anauguza Mgonjwa kwanza.
 
Kesho magufuli na Makonda wakipita kuwautubia hapo mtawashangilia na kupiga makofi pia na mabango ya kugushi eti tunakupenda Rais magufuliwetu!
Leo unataka Mnyika ndio aje awape pole,Awabomolee mwingine pole mtake kwa mwingine.
Alie waroga Tanzania atafufuka lini?
 
Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.
Nyie wapumbavu na wangese kweli mae sana, yaani mnawafanyia wananchi uharibifu halafu mnakuja na dhihaka hapa kwa Mnyika?
 
Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.
Japo unabeza lakini usemayo ni muhimu, alipaswa alie na watu wake, ikiwa hajafika basi hajui siasa ni fursa, hii ni fursa yake muhimu kushikamana na wapiga kura wake wenye shida kwani ni ntaji wake kisiasa.
Asante kwa kumkumbusha soon atatembelea magofu hayo yanayouniza.
Usisahau kuwalaumu chama chako kwa unyama huo, binafsi niliumia kuona nyumba zenye gharama kubwa zimebomolewa
 
View attachment 595322

Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.
Mwenyekiti wako wa CCM na Rais aliwafanya nini wa Kagera? si ulifurahi.
Halafu huo uwezo wa kuwa na nyumba unao? Unasubiria b 7 jioni.
 
Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.
Na we kwa utani hujambo kweli kwa akili kama hizo bado tuna safari ndefu ndio maana wenyewe wanatuita WANYONGE
 
Muambie rais wa wanyonge aliyewabomolea wanyonge nyumba zao awajengee vingnevyo tutajua anataka wanyonge wajinyonge kwa kukosa makazi.
 
Leo sijuh km utalipwa. Na ukilipwa nitajua Lumumba mnachezea pesa tu. Haiwezekani PoleSlow akulipe kwa bandiko hili
 
View attachment 595322

Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.

Aje awetetee unadhani kila mtu mwili wake unamudu kuingia risasi za smg?
 
View attachment 595322

Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.

Faidi tu posho ya bk7 lakini siku inakuja utajilaani mwenyewe kwa nini umekubali kutumika kimalaya.
 
Back
Top Bottom