John Mnyika wa Chadema ameshinda Ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John Mnyika wa Chadema ameshinda Ubungo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kishalu, Nov 2, 2010.

 1. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 60
  , 02 November 2010 11:03

  Mwanasiasa kijana machachari John Mnyika wa Chadema ameshinda kiti cha ubunge Jimbo la Ubungo mkoa wa Dar es Salaam kwa kujizolea kura 66,000 na kumshinda mpinzani wake mkuu Hawa Ng'umbi wa CCM aliyejipatia kura 50,000. Mwingine katika kinyang'anyiro hicho ni Julius Mtatiro wa CUF ambaye amepata kura kiasi cha 13,000 tu.
  habari zaidi gazeti la mwananchi today updates
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kaka kwani ni Lazima na wewe Upost bana, Mbona Post ya Ubungo Ishawekwa hapa na bado ni Mbichi kabisa wala haijapotea? Hivi unajua kwamba unatumia resource adimu iitwayo Memory?
   
 3. l

  logician mkuu JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2015
  Joined: Jun 2, 2014
  Messages: 795
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ameshinda tena Kibamba
   
 4. Uledi

  Uledi JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2015
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 478
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kwani ni mkatoliki?w
   
Loading...