Ili Tuendelee tunahitaji vitu 4
1. watu
2. Ardhi
3. Siasa safi
4. Uongozi Bora
Kwa sasa Taifa linaangamia Siasa safi na Uongozi Bora vimepotea na haya yanayotokea tumeyataka wenyewe kwani hata baba wa Taifa angefufuka Leo angetulaumu sana kwa kumchagua mtu ambaye hakuwa Chaguo lake.
Sasa ulitegemea spika amwambie WAZIRI MKUU asimame kuomba msamaha kwa Mnyika?
nampongeza sana mbunge wa ubungo, john mnyika kwa kumuumbua waziri mkuu, mizengo pinda juu ya uongo wake kwa taifa kuhusu mapendekezo ya mabadiliko ya katiba mpya yaliyowasilishwa na chadema.
Nami nathibitisha pinda ni muongo kinoma!
Eti mtoto wa mkulima, mtoto wa mkulima mjinga kiasi hiki mnafiki kazi yake kulialia tu wakati yeye ndiyo kiongozi wa serikali, watoto wa wakulima/ wafungaji walikuwa akina Sokoine siyo huyu mpuuzi...
Wewe umeweka post ya Pinda na weledi wa Mbowe. Kama unaangalia bunge au upo bungeni guambie wewe kasemaje.
Au unajua kujamba tu kwasababu harufu huisikii kutokana na usugu wa magamba ya makamasi puani.
Inauzwa markiti ya mchamba wima.Duu? staha haiuzwi madukani hizo kashfa zote za nini?
Unampongeza amekupa nn mkuu..weka hapa maelezo ya mh Mnyika tujue ili tuchangie
Labda mtoto wa mkulima wa mavi
Mnyika alishika pabaya kwa PM. Madame Speaker akaikaushia eti leo atajibiwa. Angemruhusu PM ajiume ume kama ilivyokuwa kawaida yake. Na jana bila shaka PM alimshukuru tena Madame
View attachment 90291
Nampongeza sana Mbunge wa Ubungo, John Mnyika kwa kumuumbua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda juu ya uongo wake kwa Taifa kuhusu mapendekezo ya Mabadiliko ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa na CHADEMA.
Nami nathibitisha Pinda ni Muongo kinoma!
Hawa viongozi wetu wakifanya mambo flani wanaweza kutoa product inayoweza kuwa kivutio cha utalii.
Hee! Naona mbunge wa Zanzibar kawapa msamiati wa kujamba. Ululuu!Wewe umeweka post ya Pinda na weledi wa Mbowe. Kama unaangalia bunge au upo bungeni guambie wewe kasemaje.
Au unajua kujamba tu kwasababu harufu huisikii kutokana na usugu wa magamba ya makamasi puani.