John Mnyika: Hoja ya ujanja ujanja!?

John Mnyika: Hoja ya ujanja ujanja!?

K-Boko

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
697
Reaction score
218
Mbunge wa Ubungo John Mnyika anajenga hoja Bungeni kuwa idadi ya wajumbe wa Bunge la Katiba kutoka nje ya wabunge/wawakilishi iongezwe kufikia 290 kwa kuwa wale wabunge/wawakilishi wa vyama waliopo sasa wanatokana na vyama vya siasa. Tumjulishe tu mbunge kuwa wabunge wanagombea ubunge kwa tiketi za vyama lakini hawachaguliwi na wanachama wa vyama vya siasa pekee, wanachaguliwa na wanachama na wasio wanachama wa vyama vya siasa! Of course, finally lengo la upande wako linafahamika kuwa ni kutafuta namna ya kuiwezesha hoja ya serikali tatu kwa njia ya ujanja-ujanja. Wasiwasi wangu ni kuwa hata katika hao 290 anaowapigia debe yawezekana wengi wao wakawa na msimamo tofauti na ule anaodhani Mnyika na upande wake!! Eventually, wingi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wasiotokana na vyama vya siasa inaweza kukosa mashiko na ikawa ni ufujaji wa fedha za walipa kodi tu!!!
 
Inaonekana ni wasiwasi wako tu, hoja ya Mnyika ina mantiki sn kama ungemuelewa vizuri. Tambua hata uwepo wa wabunge waliopo sasa ni batili sababu waliapa kwa kuilinda katiba ya sasa na sio kuivunja na kutengeneza katiba mpya. So kwa kuwa wao wapo kibatili ni bora idadi ya wajumbe wanaotokana na makundi mbalimbali ya jamii ndio wanaopaswa kuongezeka.
 
wewe umelewa uccm ... huwezi kufikiria kinyume na barua ya ccm mliyopewa na kusomewa ... tumia akili yako kidogo kwani tatizo la serikali tatu ni nini?
 
mkuu kwa hiyo wewe unataka wanasiasa tu ndo waingie kwenye bunge maalumu la katiba? Je katiba ni ya wanasiasa tu? Vipi wakulima? Vip wafugaji? Hoja ya mh. Mnyika ina mashiko sana!
 
Hoja ya Serikali tatu sio hoja ya Chadema, ni hoja ya Wananchi wa Tanganyika na Zanzibar,.

Tume ya mabadiliko ya katiba haikuundwa na Chadema wala Mnyika, tume imeupndwa na Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.

Kazi sana kuelimsha hii
 
Namuunga mkono mh. Mnyika na ningependekeza ikiwezekana wabunge wasiingie wote kwenye bunge maalumu, wanaweza wakaingia baadhi tu na sio kutujazia wabunge wote. Makundi ya kiraia na raia wa kawaida inapaswa waingie wengi kwe bunge maalumu la katiba. Bila hivyo tutarajie kupata katiba mbovu zaidi kuliko ile ya 77, na hiyo katiba itakuwa ya kiccm na sio taifa!
 
Mbunge wa Ubungo John Mnyika anajenga hoja Bungeni kuwa idadi ya wajumbe wa Bunge la Katiba kutoka nje ya wabunge/wawakilishi iongezwe kufikia 290 kwa kuwa wale wabunge/wawakilishi wa vyama waliopo sasa wanatokana na vyama vya siasa. Tumjulishe tu mbunge kuwa wabunge wanagombea ubunge kwa tiketi za vyama lakini hawachaguliwi na wanachama wa vyama vya siasa pekee, wanachaguliwa na wanachama na wasio wanachama wa vyama vya siasa! Of course, finally lengo la upande wako linafahamika kuwa ni kutafuta namna ya kuiwezesha hoja ya serikali tatu kwa njia ya ujanja-ujanja. Wasiwasi wangu ni kuwa hata katika hao 290 anaowapigia debe yawezekana wengi wao wakawa na msimamo tofauti na ule anaodhani Mnyika na upande wake!! Eventually, wingi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wasiotokana na vyama vya siasa inaweza kukosa mashiko na ikawa ni ufujaji wa fedha za walipa kodi tu!!!
Mwenzio lukuvi anamsifia sna Mnyika kwa kuwa mkweli na muungwa katika kujenga hoja.
 
watu hawaelewi...kama hoja za 'kuuza nchi'ccm mnasapot itakuwaje katiba mpya?Mnyika anamaanisha wingi wa ma'nyinyiEM'(not sisiEM) utafanya hoja dhaifu kupita ikiwemo suala la serikali 3 kupingwa....NAKUKUBALI SANA MNYIKA FANYA YAKO...NA SS TUNAFANYA YETU KUKUSAPOTI
 
tatizo la watu kama lukuvi wana ona nchi hii ni kama yao peke yao....kwa kigezo eti walichaguliwa
 
Inaonekana ni wasiwasi wako tu, hoja ya Mnyika ina mantiki sn kama ungemuelewa vizuri. Tambua hata uwepo wa wabunge waliopo sasa ni batili sababu waliapa kwa kuilinda katiba ya sasa na sio kuivunja na kutengeneza katiba mpya. So kwa kuwa wao wapo kibatili ni bora idadi ya wajumbe wanaotokana na makundi mbalimbali ya jamii ndio wanaopaswa kuongezeka.

Kwa kweli umenifanya nitabasamu japo siku nzima ilikuwa imepita nikiwa na hasira zisizo na msingi. Asante kwa chakula cha akili
 
Ni kweli kuwa tungepata katiba bora sana kama wajumbe wa bunge la katiba wangechaguliwa moja kwa moja na wananchi badala ya kupeleka kiraka cha wabunge waliopo kwenye bunge sasa kwenye bunge la katiba.
 
wewe umelewa uccm ... huwezi kufikiria kinyume na barua ya ccm mliyopewa na kusomewa ... tumia akili yako kidogo kwani tatizo la serikali tatu ni nini?

Lugha unayotumia ni kiashirio tosha cha malezi yako ndugu!
 
mkuu kwa hiyo wewe unataka wanasiasa tu ndo waingie kwenye bunge maalumu la katiba? Je katiba ni ya wanasiasa tu? Vipi wakulima? Vip wafugaji? Hoja ya mh. Mnyika ina mashiko sana!

Ungesoma na kuelewa vyema kabla ya kuhoji!
 
Back
Top Bottom