NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,513
- 1,121
Ukifuatilia matatizo meengi ya nchi hii
utakuta tatizo la 'age gap' kati ya viongozi wanaotawala na wananchi..
zaidi ya nusu ya watanzania ni 'below 30 years old...inasemekana almost 60
au 75 percent ya watanzania umri ni below 35
na ukichukua below 40 unaweza kukuta ni almost 65-80 percent....
mwenye accurate data
tafadhali aweke hapa.......
sasa basi mimi kwa maoni yangu naona viongozi kama Zitto,Mnyika,January,Kafulila na wengineo vijana
angalau wana 'advantage' ya kuwa connected na masula hasa ambayo viongozi
kama Kikwete na wazee wenzake wengi hawaelewi kabisa...
kuna a 'A BIG DISCONNECTION' kati ya wananchi na wazee kwa hakika...
Mimi ningependa Zitto awe mwenyekiti CHADEMA....lakini
ameshaanza kuwa 'na wapinzani wengi' ndani ya CHADEMA itakuwa ngumu kwake kupata
Uenyekiti au 'legitimacy' inayohitajika pengine kwa sasa....
sasa nilipomuangalia John Mnyika jinsi alivyoendesha kampeni ya ubungo
bila 'kumjeruhi' Julius Mtatiro na jinsi 'anavyo perfom bungeni now'
pamoja na kutomkubali huko nyuma,ameni convince now kuwa 'he is a better leader'
kulinganisha na wengine ndani ya CHADEMA....
1.Sifa ya kwanza ni 'uniter'..ataweza kuunganisha CHADEMA na vyama vingine.
2.Sifa ya pili anapenda 'dialogue' kuliko 'maandamo'....
3.Sifa ya tatu ambayo mimi naona ni muhimu mno now ni age...
ata 'connect' na wananchi ambao wengi ni vijana
yuko engaging na watu....
4.hana 'political garbage' ya aina yeyote for now...haitaji kulipa fadhila kwa yeyote
yuko free kufanya maamuzi kwa jinsi anavyoona,ana uwezo wa kuwa 'ndependent'
kimawazo...
na sifa zingine nyingi kumlinganisha na wengine......
now its time,tukisubiri 'azeeke' atakuwa 'corrupt' na mazoea na culture za siasa za makundi
Chadema wafanye kama DEMOCRATS walivyofanya kwa OBAMA....
mimi nafikiri its time Mnyika awe Mwenyekiti,CHADEMA itawasaidia
1.hoja ya uchagga na ukaskazini
2.hoja ya chama cha familia...
na hoja zingine...nyiingi....Urais anaweza kugombea SLAA au yeyote but Mnyika awe Mwenyekiti....
naunga mkono hoja na umelezea Vzuri sana Mnyika ni mbunge ambaye anajua kupangilia hoja na huwa hakurupuki na wala si mlopokaji sio siri ni Mmoja kati ya wabunge wachache ninao waheshmu. But suala la akizeeka atakuwa corrupt hilo siwez kukukatilia wala kukuunga mkono kwasababu siasa ya 3rd World countries sio siri haielewek ndugu yangu.
Acha unafiki,namna ya kudeal na nyie inajulikana.Nakumbuka maneno ya mwalimu wangu aliniambia ukiona mtu uliokuwa mnajadaliana nae anaanza kutoka matusi hovyo...
Ujue umembwaga kwa hoja..
Sasa mambo ya masaburi yametoka wapi tena mkuu?
Au ndio matunda ya makuzi yako kutoka kwa wazazi wako!
Zitto mwanachadema damu.mnao msumbua mnalenu jambo.
Kafanya baya gani ndani ya chadema?
Acha unafiki,namna ya kudeal na nyie inajulikana.
Mtu usiejibu hoja ujibiwe vipi?
A leader is born not made!
Acha unafiki,namna ya kudeal na nyie inajulikana.
Mtu usiejibu hoja ujibiwe vipi?
haswaaaa ulipokuja wewe ndipo nilipo pataka
mimi nimemfananisha na wengine CHADEMA nimemuona yeye zaidi
tazama
1Zitto -yuko 'tarnished' na makundi ya CHADEMA
2.Mbowe- the same,background yake 'haiko convincing,hana kipya..
3. Slaa- yuko tarnished kwa waislam,na skendo ya ndoa yake..
4.Lissu- yuko so 'mwanaharakati' kuliko kuwa mwanasiasa...ana ugomvi na CUF na NCCR tayari
hawezi ku UNITE
5..Mdee- hayuko on her own ki chama,anaeegemea kundi..fulani
umeonaaa??????
CDM ni taasisi kubwa, hatuhitaji kufuata na kuiga kila kitu kutoka CCM. Democrasia ndani ya Chama itawale na ndiyo njia sahihi itakayotupa viongozi wazuri. Tatizo hapa watu wanatumia umaarufu wa mtu kumpa uongozi badala ya record za mtu kiuongozi, kimaadili, kiutendaji nk. Kwa hali ya kisiasa ilivyo saizi nchini, CDM wakicheza vibaya na moto wa nani awe mwenyekiti wa chama, basi watanzania tutaendelea kupigishwa kwata hadi kizazi kijacho. Hatutaweza kuwang'oa hawa magamba. Napendekeza njia mbali mbali ziandaliwe za kumpata mwenyekiti zikiwashirikisha wanachama wote kuanzia stage 1 hadi mwisho. Na baadae intelligency unit ya chama ifanye kazi yake.Katika mazingira na historia ya kisiasa kwa hawa vijana wawili yani zitto na mnyika sio rahisi mmnyika awe mwenyekiti afu zitto apewe nafasi ya uongozi chini yake. Labda abaki mjumbe wa vikao tu vya cc na nec. Mana kwa vigezo vyote mnyika bado ni junior kwa zitto. Sijui ndani ya chama hali ikoje. Ingawa wakikubaliana wanaweza kuwa hivyo. Mnyika awe mwenyekiti na pengine zitto awe makamu.