Delilah kamzingua sana Dr Mihogo.
mnyika hata aibu huna? kula matapishi sio mchezo! watu ndio wanafanya mfumo. tangu lini mfumo ukawa nje ya watu. mfumo unapumua ni watu. kweli rupia inapoteza utu.
sasa sikilizeni mziki wa akina mnyika lissu, kafulila! Aaaah! Ni shidaa!
Dr.mihogo ni hovyo kabisa unaweze kumskilza mushumbush shangingi lililoshindikana mjn miaka nenda rudi hadi uyakubal mabilion ya ccm uasalit mabadiliko
Poor dr.mihogo na kafie mbele
Atakula wapi akijitoa bora akina lisu wana professional nyingine ,mnyika ANAJIFANYA yuka pamoja lakin kwa kweli kisaikolojia hayuko vizur tusubiri time will tell
Ukawa bana! Humu JF siku hizi mmeamua kuigeuza ni ya kampeni za EL tu! Mnaanzisha thread mnajijibu wenyewe mnachekelea! Haya siku hizi mmejimilikisha jf, mtu akitofautiana na nyinyi anaonekana humu jf kama si memba kabisa! Haya wacha mjitekenye wenyewe na mcheke wenyewe! Hapa KAZI TUUU!