Mnyika atajibu hoja za ufisadi hivi karibuni
Napendekeza Mnyika ndiye apewe ukatibu mkuu - awe amepata au kukosa ubunge! Ni kijana mwenye moyo wa dhati kuhusu mabadiliko.Nimefurahi kama Mnyika bado yuko kwenye Team ya mabadiliko... maana kuna uzi humu ulisema kuwa anajitoa ukawa
Nimefurahi kama Mnyika bado yuko kwenye Team ya mabadiliko... maana kuna uzi humu ulisema kuwa anajitoa ukawa
ya hasa za escrow, EPA, meremeta, CIS, tembo na meno yao, NIDA, na hasa za fire arms deals
Nimefurahi kama Mnyika bado yuko kwenye Team ya mabadiliko... maana kuna uzi humu ulisema kuwa anajitoa ukawa
mnyika hata aibu huna? kula matapishi sio mchezo! watu ndio wanafanya mfumo. tangu lini mfumo ukawa nje ya watu. mfumo unapumua ni watu. kweli rupia inapoteza utu.Mgombea ubunge wa jimbo la Kibamba kupitia CHADEMA Mnyika Leo amewaaga wapiga kura wa jimbo la kibamba kutokana na ombi la mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kuwataka wana kibamba wamruhusu mbunge wao mtarajiwa aende mikoani kwa ajili ya kuongeza nguvu katika majimbo yote ya ukawa na pia kujazia kura za urais.
Ombi hilo la Mbowe lilikubaliwa kwa sauti kubwa ya ndio na maelfu ya wapiga kura wa kibamba huku wakisema kwamba jimboni hapo mh Mnyika hana haja ya kupiga kampeni kwani tayari ni mbunge anayesubiri kuapishwa.
Kuanzia kesho Mnyika atajiunga na kundi lingine la wabunge machachari kina Lissu, Mdee,Lema, Kafulila na wengineo katika kampeni kali ya kutafuta kura za ukawa majimbo yote Tanzania
Amzungumzia Dr. Slaa
Mnyika alimfananisha mchumba wa aliyekuwa mke wa katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa bi Josephine kuwa ni kama Delila aliyetumia ulaghai kumpotosha Samson.
Mnyika alisema kwamba adui wa Mabadiliko sio mtu toka ndani ya CCM ila ni mfumo wa CCM mzima na yeyote atakayesapoti mfumo wa CCM ni adui wa mabadiliko.
Na huo mfumo sijui ulitengenezwa na majini!kwahiyo mfumo ndo tatizo,sio mtu,kwa mjibu wa mnyika
Atakula wapi akijitoa bora akina lisu wana professional nyingine ,mnyika ANAJIFANYA yuka pamoja lakin kwa kweli kisaikolojia hayuko vizur tusubiri time will tell
safi sana Mnyika shambulieni kotekote tunataka ushindi wa saa5 asubuhi kura ziwe zimefika 14M
najua kaka... sometimes inabidi kujitoa fahamu ili tujue vichaa na imbeciles wanawazaga nini
ni kapuuzi fulani hako kajamaa