Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, amesema Askari wa magereza wamemzuia kuingia Gereza la Ukonga kumuona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
"Askari wa Magereza wamenizuia kuingia gereza la Ukonga leo kumwona Mwenyekiti Tundu Lissu. Wamesema wana maelekezo kuwa asionane na kiongozi yoyote wa CHADEMA. Tutautaarifu umma hatua tutakazochukua kufuatia kadhia hii."