Mtahangaika sana,CDM ipo pale pale na inazidi kujikusanyia wanachama wapya kila uchao.Kadi za cdm zinazidi kuwa lulu huku field tulipo na tunaomba tu uongozi watuletee kadi nyingi.
Ikiwa we we no muongo,unadai ukweli gani?nyinyi pia mlipaswa kuchunguza he madai hayo ni ya kweli?ndipo muanze kushabikia,lakini kinyume chake kila linalotolewa kufikiri mnapiga kelele kama vimbulu,kweli nyinyi ni mazombies,mkipewa ushahidi Wa namna nao wanaohoji wanavyokosea mnapinga tena bila kuchunguza.nyinyi ni vimbulu.
Mtahangaika sana,CDM ipo pale pale na inazidi kujikusanyia wanachama wapya kila uchao.Kadi za cdm zinazidi kuwa lulu huku field tulipo na tunaomba tu uongozi watuletee kadi nyingi.
Mtahangaika sana,CDM ipo pale pale na inazidi kujikusanyia wanachama wapya kila uchao.Kadi za cdm zinazidi kuwa lulu huku field tulipo na tunaomba tu uongozi watuletee kadi nyingi.
WANA CCM, mtahangaika sana kuimaliza CDM kwa maneno. Wapo wanaosema sisi wana CDM tusome alama za nyakati, wapo wanaosema ati CDM imekwisha kufa n.k. Sawa tu midomo yenu nyote hailipiwi kodi ,na hakuna mtu anayeweza kuwazuia msifikirie mnayotaka kufikiria. Mnapoteza muda wenu wa kufikiria mambo ya maendeleo yenu na familia zetu, tena watu kama ninyi mmechoka kimaisha! Ikumbukwe kuwa a "person convinced against his/her own will isof the same opinion still". CDM inasonga mbele kiukweli huku kwenye field mpaka vijijini tulipo. Subirini matokeo ya Serikali za Mitaa tuwaoneshe!Hivi Mnyika hajui madhambi ya Viongozi wake au ndo kumtumikia Kafiri....
Muongo yeyote hudai ukweli gani?muongo ni muongo tu,na baba yake ni shetani,kwa mujibu Wa maandiko,wote wanaomshabikia muongo,nao ni waongo tu na hawafai katika nchi hii,maana hawatakii mema wananchi.mmoja wao ni wewe na ccm wenzako.
Hivi umeelewa kweli hiyo Lugha?Mnyika Chamema hujafunga nayo ndoa.