Ondoa Mahaba yako ili uweze kuuona utendaji wa Magufuli
Ww ndio uondoe mahaba yako kwa magufuli ili uuone uozo wa magufuli. 90% ya niliyosema yapo kwenye report ya CAG ambaye ni mteule wa rais. So niliyocomment serikali ya kikwete inayafahamu fika na kwa sbb zao binafsi wameyakalia.
Kwenye mustakabali wa nchi ni nzr wote tukawa objective.