Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
sisiem wameingia mkenge. lowassa njia nyeupeeeee
Mkuu Gunners wanatisha lakini hili Jambazi sugu litaenda kuchunga ng'ombe tu. Vipi uliona mtanange wa Munchen ..... ..... . siwezi kumsupport EL kwa sababu kubwa ambazo zinajulikana, Yeye ndiye kinara wa Ufisadi kuanzia kwenye kuuzwa mashirika ya umma, Azimio la Zanzibar nk. Ana kiburi sana amekula pesa za walipa kodi bila kunawa mikono. Who the hell does he think he is? Alikuwa wapi wakati Slaa anakijenga chama, alikuwa wapi wakati Watanzania wanadhulumiwa from top to bottom na kina RA, JK, Che nkapa chenge etc, Yeye ndiyo Richmonduli mwenyewe, it will never happen.
Happy birthday to Le Prof ... .. .Ding ... Dong tukutane J1 Emirates.