Makufuli na ccm ni janga la kitaifa
kama dengue, kipindupindu na ebola ... combined
Wewe nifah kazi unayoweza ni kupakaa mdomo hiyo rangi, vingine huviwezi. Diplomasia inataratibu zake. Kwa kuwa ni mgumu kuelewa jua tu, anayefaa yupo kwenye kazi ya kampeni mchague tr 25/10/ awe Rais wako wa Tanzania.
Una moyo. Ukisikiliza mkutano wa kampeni wa Magufuli Hadi mwisho unachafukwa roho. Yaani anaongea kama msanii anayejifunza kuigiza...yaani underground kabisa!
Kiukweli ni bora Kikwete 'dhaifu' kuliko Magufuli mkurupukaji.
Huyu jamaa akipewa nchi hata mwezi mmoja tu atasababisha vita.
Tuchukulie mfano wa mgogoro wa ziwa Nyasa kati yetu na Malawi Magufuli ndio angekuwa rais ingekuwaje?
Tuache ushabiki,Magufuli hafai kuwa rais.
Hata Kagame nasikia ni dikteta ndio maana Rwanda leo wapo vizuri.
Jumapili ni Magufuli tu.

Dakika 5 za lowasa zinakitu? Anangojea back up ya wapambe, ataweza kujisimamia au ndiyo hayo ya kuulizana ndani ya jukwaaa? Magufuli bomba bwana, Lowasa kibonde tu.
"Haki ya mungu watanikoma nikiwa Rais" - Magufuli akimzungumzia aliyeweka pingamizi mahakamani nyumba yake isivunjwe kupisha bomba kubwa la maji Dar es Salaam na jaji ambaye hajatoa hukumu!Naomba nieleweke kuwa ni kweli pasipo shaka kabisa John Magufuli mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CCM ana upeo mdogo sana wa kuchanganua mambo! Hajui kitu kinachoitwa kanuni za utawala bora!
Jana nimemsikia akisema eti yule mtu mwenye ghorofa aliyezuia bomba la maji lisipite angekuwa yeye ndiye mwenye mamlaka angemvunjia kwa nguvu! Huyu ndiye mtu anayepigiwa chapuo kuwa rais wa nchi!
Bomba unataka upitishe kwenye nyumba ya mtu kimabavu tu eti kwa kuwa una mamlaka? Nini maana ya mahakama? Hujui na wala huitambui hadhi ya mahakama? Ama kweli sasa naanza kuwaelewa Kikwete na Pinda kwanini walikuwa wanamzima hadharani! Huyu
mtu anaweza kusababisha taifa lenye migogoro mikubwa nje na ndani!
Juzi nilifanya mahojiano na waziri Fenela Mkangala kaniambia kuwa Magufuli alikuwa akipewa fedha kidogo za bajeti kwenye kikao cha mawaziri kulikuwa hakukaliki! Alitaka awe yeye kwanza na anadiriki kusema wizara ya fulani haina maana hizo hela nipeni mimi! Hata hivyo bado miradi mingi haina ubora, kwa nini?
Lipo jambo lingine la 'mahakama ya mafisadi' sijui ataipa tafsiri gani kwenye mfumo wa mahakama! Au anataka kuunda mahakama ya kijeshi? Maana lazima iwe ndani ya mfumo wa kimahakama. Yote tisa kwani mahakama zilizopo zimezidiwa mpaka kuanzishwa mahakama (sijui ya kijeshi? ) Magufuli hajui kuwa kabla ya kumfunga mtu kuna kesi? Hajui kuwa kuna kushinda na kushindwa mahakamani? Ukipeleka mtuhumiwa mahakamani then akashinda utashinikiza afungwe eti kwa kuwa ni lazima umfunge?
Kesi ni lazima iamuliwe na hukumu ikitoka imetoka unashinda au umeshindwa! Labda ukate rufaa!!
Akiwa Chato juzi nikamsikia akisema "nitakutia ndani" sijui alikuwa anamwambia nani? Unamtiaje mtu ndani hujampeleka mahakamani?
Kwa kweli kuwa na kiongozi anayekurupuka hovyohovyo kama Magufuli! Hapana!