Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,787
Msikurupuke, Uione Wizara ya Miundo Mbinu ya Jiji la Nairobi, Ministry of Nairobi Metropolian Development, Nairobi Metro, mawaziri wake hawa Ministry of Nairobi Metropolitan Development.
Jiji la Dar es Salaam linahitaji mpango mahsusi kabisa wa kukabiliana na upungufu wa miundombinu ukilinganisha na mahitaji yake, Wizara ya Ujenzi na ile ya Uchukuzi kama zilivyo sasa zina mambo mengi sana ya kufanya nchi nzima hivyo haitaweza kuconcetrate katika kutatua tatizo la eneo moja tu, Dar es Salaam, ambalo ni tatizo la kimsingi na linaathiri shughuli nyingi za kiuchumi ambazo indirect zinaathiri nchi nzima kiuchumi.
Kwa kutambua kuwa Dar es Salaam ina matatizo maalumu, yanayohitaji solution maalumu ambazo hazitaweza kupatikana kwa mfumo uliopo sasa, one more time Magufuli anadhibitisha kuwa ni kiongozi makini, mwenye vision na asiyependa blah blah, namuunga mkono sana Dr.Magufuli kwa kuliona hilo..
Jamani Watanzania Tuache Ushabiki wa Kisiasa...na tusiongee vitu bila logic,kufikiria au kutofanya utafiti
Wenzetu Kenya...,wana wizara maalumu ya jiji la Nairobi ambako wameweza kushughulikia mambo mbalimbali na kutatua kero zinalozisakama jiji la Nairobi kama barabara,maji,usalama na vilevile wameweza kuwa na mipango mirefu na endelevu ya jiji la nairobi
Mfano mzuri pia Tanzania tuna kanda maalumu ya ulinzi wa jiji la Dar es salaam,tuna pia ulinzi maalumu katika wilaya ya tarime ambapo kuna matukio mengi
Jamani Dk.John Magufuli sio mjinga eti kaamka leo asubuhi ndio kasema...,hilo suala kalifanyia utafiti,kaona mazuri yake na tathmini zake..kama mnavyomjua yeye ni mtu wa kufuata utaratibu wenye kuelewa wanamwelewa ila wenye ulemavu wa fikra mnaleta siasa..huyu ndio raisi tunayemtaka msimamo kama paul kagame siyo kwenda kuhonga makanisani na kutumia vijana kumsafisha kwenye JF..
Moto wa Dk.John Magufuli Lowasa hatii mguu...,bila yeye leo CCM wangelikosa jimbo la Igunga..,bila yeye leo Uvuvi haramu bado ungekuwa tatizo kanda la Ziwa,Tukumbuke 2005 alifanya nini kwenye sekta ya barabara...Watanzania jamani tusimkosee heshima huyu jamaa
Hana tuhuma yeyote ya wizi,ufisadi..,hana kampuni yeyota ya biashara amekuwa mwadilifu,mchapakazi,na anafuata sheria invyosema ndio maana suala la bomoa bomoa lilimletea matatizo kdg..JOHN POMBE MAGUFULI wil be the next President of Tanzania kama CCM hamtaki CHADEMA tunamtaka
Aachani Kumchafua mzee wa watu! John Magufuli fanya kazi...,achana na hao wanaonza kufanya kampeni za uraisi mapema paka wanakigawa chama na watanzania! BECAUSE GOD LOVES TANZANIA AND MAGUFULI WIL BE THE NEXT PRESIDENT..GOD CAN'T GIVE US A THIEVE TO BE OUR PRESIDENT
Wewe wasema, lakini pamoja na mipango na ushirikiano wa taasisi za serikali nchini, lakini kwa uwezo wetu wa kiuchumi, Dar es Salaam inahitaji sasa priority maalum ili kuweza kumaliza matatizo ya miundombinu iliyonayo, with time mtatambua jinsi hii point ya Magufuli ilivyo na akili..
Viva JF !!!
unajua watanzania wengi tunajifanya wajuaji sana.......kwa sababu hatupendi kujua wala kutaka kuelewa wengine huwa wanawaza nini wanapotoa maoni yao.., katika hili Magufuli yuko sayari nyingine kabisa na wengi waliotoa maoni humu.....sasa ole wake katika waliotoa maoni humu akawa kiongozi!!!!!!! tuna bogus leaders aina ya watu waliotoa maoni hapo awali kupinga wazo la magufuli!!
DSM imekosewa sana, katika kugawa zile fedha za bajeti unaona asilimia 70 ya bajeti ya wizara inatakiwa DSM!!
Magufuli is right 100%