John Heche: Wanaotuonea watawajibika tu hata baada ya miaka 10

John Heche: Wanaotuonea watawajibika tu hata baada ya miaka 10

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,150
Reaction score
56,463
"Katibu wetu wa kata kauawa mnaona ni sawa, Tundu Lissu kapigwa risasi mnaona ni sawa, watu wanaonewa mnaona ni sawa, na sisi wengine tuko kwenye listi ya kuumizwa".

"Sisi wengine tumeziambia familia zetu, kwamba tukiuawa, hata kama ni miaka kumi, watu waliotufanyia unyama, familia zao lazima ziwajibike. Hili lazima likae kwenye rekodi". John Heche.

Anataka records ziwekwe tu ili yakija kutokea tupate reference.

Vv
Technology utunza history, hata wasiojulikana wa mchawi dikteta yahya jamehei wa Ghana wanasakwa wanafikishwa mahakamani, tuombe uzima tutashuhudia wote waliotumia Madaraka yao vibaya,fedha za umma vibaya,chain nzima ya wasiojulikana wajiandae tu siku yao yaja hawawezi kukwepa kikombe,damu ya watu na haki za watu hazipotei bure.
 
"Katibu wetu wa kata kauawa mnaona ni sawa, Tundu Lissu kapigwa risasi mnaona ni sawa, watu wanaonewa mnaona ni sawa, na sisi wengine tuko wenye listi ya kuumizwa".

"Sisi wengine tumeziambia familia zetu, kwamba tukiuawa, hata kama ni miaka kumi, watu waliotufanyia unyama, familia zao lazima ziwajibike. Hili lazima likae kwenye rekodi". John Heche.

Miaka kumi?
Mbona jamaa wameshaanza kuwajibika tayari.
is
 
Back
Top Bottom