JOHN Heche Utazamaji gani huu

JOHN Heche Utazamaji gani huu

....Siasa sio vita, huo nao ni ushamba tu kama ushamba mwingine!
 
....Siasa sio vita, huo nao ni ushamba tu kama ushamba mwingine!
Ungeutolea mfano huo "mwingine"
Nikwambie kitu!
Mshamba yuko mtaa wa Luthuli, yaani Bonge moja la mshamba.
 
Ana hasira na hayo anayozungumza huyo waziri, anatamani amchape kofi [emoji4]
 
Muongeaji anaonekana anatema pumba za hatar ndio maana hata hao wengine pembeni yakevHeche nao kama wameshindwa kumeza hizo pumba.
 
Ungeutolea mfano huo "mwingine"
Nikwambie kitu!
Mshamba yuko mtaa wa Luthuli, yaani Bonge moja la mshamba.
....Wa Afrika bado tuna safari ndefu, Kwahiyo hapo Heche ni Mjanja kwa kumuangalia hivyo HK?
 
Kwa wale wataalam wa "Photograph Intereptation" wataanza kuangalia nyuso za watu wote waliopo hapo kama kuna mwenye tabasamu, kama hakuna ina maana wote wamechoka na poroja na propaganda zinapigwa hapo; na kwa kuwa Heche ndiye Mbunge wao kwa maana ya mwakilishi wao, yeye ndiye anapaswa kuonesha kutoridhika kwao.
 
Hii maada hii,imenichekesha asubuhi mpaka machozi. Hasa kwa wachangiaji. Mwingine anasema ”kwa tarime hilo tabasamu mwanana“ mwingine anasema “kwa sisi wa bara hilo amerembua” mwingine “tabasamu la kulia de...” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kaka huku kwetu ukimuangalia hivyo demu huitaji kutongoza... yeye mwenyewe anajua ushampenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa hasira kali namna hiyo? Ndio maana tarime kupigwa wanaomba
 
Back
Top Bottom