John Heche ni zaidi ya Ibrahim Traoré

John Heche ni zaidi ya Ibrahim Traoré

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,230
Reaction score
10,201
Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré.

Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi.

Namtabiria Makubwa sana John Heche
 
Wazalendo wako wengi nchi hii,Uzalendo sio kuongea kwa ukali majukwaani
 
Kwa lipi? usanii wa majukwaani? Acheni kufananisha miamba na wachumia tumbo kama kina Heche
 
John Heche ni mwamba sana
Jamaa anatema madini dakika 45 ITV
Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré.

Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi.

Namtabiria Makubwa sana John Heche
 
namsikiliza hapa kwenye dakika 45

weledi wake uko chini sana
 
Back
Top Bottom