Jires Chriss
Member
- Aug 15, 2015
- 6
- 0
kamati huwa zinanunuliwa sasa kama huna pesa unapewa kamati ya jinsia na watoto. Tanzania kuna vioja kila kona Rushwa.Wafanyeje na mpangaji wa kamati ni Ndugai ?
hii ni kauli ya heche yeye amenukuu tuLeo imekula maharage ya wapi???Wamasahau nyakati hi ni za HAPAKATU siyo zile za Maisha Bora kwa kila Mtanzania mwenye undugu na Mwenyekiti.
Hongera Ritz ila Wanachama wenzako watakuponda mawe??
mkuu sitaki kuamini kama unaakili ndogo kiasi hiki......Hivi umeusoma uzi wote naukauelewa?Ritz anahanyahanya kwel mzee ulikwepa sana kodi ni wakati wako kuumia prince haaaa chezea ngosha ww
Kama zzt alikuwa anajuwa kazi yake mbona serikali ilikuwa haipati ushuru? na makontena kibao yalikuwa yanapitaje bila hata kujulikana? ndo maana zzt ana utajiri usio lingana na mshahara wakeWafanyeje na mpangaji wa kamati ni Ndugai ?
Kwa sababu huyo ZZK haesabiki ktk kundi la wapinzani, so wanapinga kujaza maCCM na kampani zao kwenye kamati nyetiMkuki kwa Nguruwe kwa binadamu ni......?.
Hawa sindio waliokuwa hawataki Zzk apangwe kamati hizo wanazozililia wao?
...
Huwezi kujaribu kufikiria independently bila ku.quote statement ya ZZK?Heche anachekesha sana maana wabunge wote wanahadhi sawa na kamati za bunge zinahadhi sawa hakuna bora kuliko nyingine aache kelele.
Unamaanisha nini kama GT? Kwanini usiseme wazi.Ndugai aliachwa awe speaker kwa kuwa walijua kutakua na uchaguzi mwingine wa spika.
ZZK ni mtu moja angepangwa kamati ngapi ?
It's advised to lay low and so I didUnamaanisha nini kama GT? Kwanini usiseme wazi.
Na ukiwasoma vizuri na kwa utulivu utagundua wengi wao ni WAHA sijui kwa nini.Kuna watu wao wanaamini Zitto ni suruhisho la matatizo ............ kwao Zitto ni genius pekee aliyepo opposition!!!
Nieleweshe, HAWA ndio kina NANI? Mleta uzi ni mfuasi wa ccm na kaweka kichwa cha habari kikimtaja Heche wa kule NEMC kwahiyo HAO uliosema walitaka zzk atoke ndio hawa hawa kina riz 1 au Heche? Sijaelewa kabisa.Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu ni......?.
Hawa sindio waliokuwa hawataki Zzk apangwe kamati hizo wanazozililia wao?.
Kati ya wabunge hao wanao wakubali wao kuna hata mmoja wao anafikia angarau nusu ya Zzk.
Wabunge ilipaswa wapangwe kwenye kamati kulingana na taaruma zao,lakini wahenga wanasema vita ya panzi furaha ya .......?.
Kwa mwendo huu wa upinzani njaa uliopo Tz ccm itatutawala tena miaka 50 ijayo kama wapinzani hawatobadilika.Waache kutanguliza maslahi ya vvyama mbele badala yake watangulize taifa kwanza.
Think reasonably. Pamoja na uchache wao, kwa nini ukawajaze kwenye kamati ya Ukimwi badala ya PAC na LAAC ambazo ni kamati zinazoongozwa na wapinzani?Heche kachanganyikiwa tu,hao wabunge wa ukawa wapo robo ya bunge ukiwajaza katika kamati mbili tu kamati zingine zitakosa wabunge wa upinzani.