Jires Chriss
Member
- Aug 15, 2015
- 6
- 0
Wafanye kazi mbwembwe zingine waziache....kuna nini hadi watake wawekwe kwene kamati fulani?
Hafu inakuwaje Zitto anajadiliwa hivo? Jamani, si watu mmwache..mangapi cdm wanafanya hatusemi? Teuzi ngapi hususani viti maalumu zinakwenda kwa nepotism hatusemi? Kwani unadhani wengi wanafurahia teuzi hizo zinavofanywa?
Na mbona Zzk yy halalamiki? Hafu hofu gani dhidi yake huku yuko na chama chake? Chama chake kinashabihiana vipi na cdm? Mmmmmm, wajenge nchi....si vyama vyao......waanze kulalamika kwanza posho zipunguzwe tuone km kweli wazalendo hao, pia mishahara waombe ipunguzwe...tuone kama wako tayari