Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
hii ni kauli ya heche yeye amenukuu tu
Ok
hii ni kauli ya heche yeye amenukuu tu
Kwani lazima?Think reasonably. Pamoja na uchache wao, kwa nini ukawajaze kwenye kamati ya Ukimwi badala ya PAC na LAAC ambazo ni kamati zinazoongozwa na wapinzani?