Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu ni......?.
Hawa sindio waliokuwa hawataki Zzk apangwe kamati hizo wanazozililia wao?.
Kati ya wabunge hao wanao wakubali wao kuna hata mmoja wao anafikia angarau nusu ya Zzk.
Wabunge ilipaswa wapangwe kwenye kamati kulingana na taaruma zao,lakini wahenga wanasema vita ya panzi furaha ya .......?.
Kwa mwendo huu wa upinzani njaa uliopo Tz ccm itatutawala tena miaka 50 ijayo kama wapinzani hawatobadilika.Waache kutanguliza maslahi ya vvyama mbele badala yake watangulize taifa kwanza.

Leo imekula maharage ya wapi???Wamasahau nyakati hi ni za HAPAKATU siyo zile za Maisha Bora kwa kila Mtanzania mwenye undugu na Mwenyekiti.Wanaukumbi.
Upangaji wa kamati za bunge umelenga kufanya bunge kuwa chombo kinachosimamiwa na serikali badala ya bunge kuisimamia serikali. kamati ya PAC ambayo kanuni inasema itaongozwa na upinzani wamewekwa ukawa 6 ccm 17 kamati ya Ukimwi ukawa 11 ccm 12, ukiangalia kamati ya LAAC ambayo ni kamati ya hesabu za serikali za mitaa ccm 16 ukawa 6 itakumbukwa pia kwa mujibu wa kanuni kamati hii inaongzwa na upinzani. Hivyo hivyo kwenye kamati ya bajeti na kwingine, wabunge wengi wenye uzoefu na uwezo wameondolewa kwenye kamati ambazo wangepangwa wangesaidia nchi. Kama wewe ni msafi na unataka nchi iende mbele kwa kauli zako za HAPA KAZI TU kwanini unataka kunyamazisha bunge ambacho ni chombo cha wananchi! Kuna mambo mengi sana yanataka kufichwa hapa. Ikumbukwe pia kwamba mambo mengi ya bunge yanaishia kwenye kamati yanayooneka kwenye Bunge la wazi ni kidogo sana.
Are you serious???Ndugai aliachwa awe speaker kwa kuwa walijua kutakua na uchaguzi mwingine wa spika.
Haki ya Mungu akaunt ya Ritz imeingiliwa!!!! Wewe ndiyo wa kuandika hivi wewe!Wanaukumbi.
Upangaji wa kamati za bunge umelenga kufanya bunge kuwa chombo kinachosimamiwa na serikali badala ya bunge kuisimamia serikali. kamati ya PAC ambayo kanuni inasema itaongozwa na upinzani wamewekwa ukawa 6 ccm 17 kamati ya Ukimwi ukawa 11 ccm 12, ukiangalia kamati ya LAAC ambayo ni kamati ya hesabu za serikali za mitaa ccm 16 ukawa 6 itakumbukwa pia kwa mujibu wa kanuni kamati hii inaongzwa na upinzani. Hivyo hivyo kwenye kamati ya bajeti na kwingine, wabunge wengi wenye uzoefu na uwezo wameondolewa kwenye kamati ambazo wangepangwa wangesaidia nchi. Kama wewe ni msafi na unataka nchi iende mbele kwa kauli zako za HAPA KAZI TU kwanini unataka kunyamazisha bunge ambacho ni chombo cha wananchi! Kuna mambo mengi sana yanataka kufichwa hapa. Ikumbukwe pia kwamba mambo mengi ya bunge yanaishia kwenye kamati yanayooneka kwenye Bunge la wazi ni kidogo sana.
Mmemkumbuka yule bibi wa mfupa hauna ulimi eeh?Kwa upangaji wa hizi Kamati enzi Za mama makinda kulikuwa na kamati madhubuti kuliko hizi Za sasa
Ha ha ha.Na wewe tuondolee ujinga hapa, Zitto ni nani bwana! Unataka kutuambia hako kajitu kako tungekagawa vipande ili kawe PAC na LAAC? Huu ni mkakati maalum wa serekali ya Magufuli kunyamazisha bunge! Hivi unafikri hata zitto angepangwa huko angefurukuta? Watu 6 kwa 16 utapitisha hoja gani hapo?