Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,325
- 5,543
Jaman kwan hamkumbuk kama mliambiwa kuna uliojichimbia zaid?
Hujui tu. Na kutokujua sio kinga kisheria. Kilichokuwa kinabishaniwa pale ni technicality za kisheria. Ukielewa jinsi wanasheria wanavoshindana ndo utajua kuwa hata muuaji anaweza kuachiwa huru kwa sabb ya makosa ya kiufund. Na ndo apo unapoweza kumtofautisha mwanasheria huyu na yule na ukawa na uwezo wa kusema yule ni bora kuliko huyu.Anaandika Comred Mbunge wa Jimbo la Tarime vijini John Heche.
Mahakama za Tanzania ni aibu kwa taifa, mahakama inapokua sehemu ya kunyima haki inafundisha watu tabia ya kutoheshimu mahakama.
Hili sakata la Lema kuna mtu aliniambia mapama litapigwa danadana mpaka feb kwa visingizio mbalimbali mwanzo sikuamin!
Sasa imethibitika hivyo inatia hasira sana. Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana!
mwanasiasa huyo ni waongo sana hawa jamaa huwa siwamini kabisa. mmKesi yenye haki ya dhamana inakosa dhamana kwasababu ya danadana. Halafu hizo mahakama huwa zinasema ziko huru. Uhuru upi wa kumnyima mtu haki kwa maelekezo? Mtoa mada hapo juu anasema alishaambiwa mapema na imetimia.
Asubiri zamu yake ndio ataelewaKesi yenye haki ya dhamana inakosa dhamana kwasababu ya danadana. Halafu hizo mahakama huwa zinasema ziko huru. Uhuru upi wa kumnyima mtu haki kwa maelekezo? Mtoa mada hapo juu anasema alishaambiwa mapema na imetimia.
Hujui kitu wewe mfuasi wa kijani, Lema ni shujaa na huwezi kuwa shujaa pasipo kupitia tabu kama hizi anazopitia Lema za kutoogopa ujinga na upumbavu wa watawalaSiasa za kitata za mhe mbunge zinazoishia mahakamani karibu kila mara zinachosha.
Kama wanafanya kumkomoa wanayo sababu japo siyo ya msingi sana. Dola siku zote hutumia mabavu na vyombo vyake ipasavyo. Ni vizuri mhe. Mbunge akabadili mbinu kwani hii anayotumia haiioneshi kufaulu na itaishia kummpa taswira hasi miongoni mwa jamii
Mkuu inawezekana was dar,au mwanzaMawazo ya hivi Mara nyingi yanakuwaga ya watu wa SONGEA na DODOMA
Mkuu mbona povu linakutoka hivi ,inakusaidia nn kufurahia kiwanda kufungwa...Ungeenda shule, unakimbilia kwenye vitu vyepesi unaacha hoja. Peleka huko akili za kufungwa kiwanda cha Dangote.
Kwa hivo lema kunyimwa dhamana ni swala la taifa....utaifa gani unamanisha mkuuTuolodheshee na nyingine ambazo watu wamenyimwa dhamana, usilete unafki kwenye masuala ya kitaifa.
Kwani alisema nini mkuu? Huyu jamaa huwa anavuka mipaka ya kuongea .....Ni Kesi ya kipuuzi kuonwa na mm toka nizaliwe
Kumsema Rais wa TZ ktk utawala huu ni kosa la UHAINI?
Hamna dhamana hadi kesi yako iishe ama ushinde au utiwe hatiani?
Upuuzi mtupu!!
Mtu akisema "nimeota Rais atakufa..." anakamatwa, anashtakiwa, ananyimwa dhamana, anakaa miezi mitatu gerezani; mhaini, gaidi, mtu hatari... Wakati wa ukoloni mtu aliyesema "Wakoloni wataondoka...", "Wakoloni watarudi kwao.." alishtakiwa, akateswa, akatwezwa, akaitwa gaidi na hata akanyongwa.Asubiri zamu yake ndio ataelewa
Hujui tu. Na kutokujua sio kinga kisheria. Kilichokuwa kinabishaniwa pale ni technicality za kisheria. Ukielewa jinsi wanasheria wanavoshindana ndo utajua kuwa hata muuaji anaweza kuachiwa huru kwa sabb ya makosa ya kiufund. Na ndo apo unapoweza kumtofautisha mwanasheria huyu na yule na ukawa na uwezo wa kusema yule ni bora kuliko huyu.
Hamuwezi tena kuwahonga wanasheria wa serikali kwa sabb Magu kakaza zaid.
Ni suala la kukubali kuwa mmeshindwa na kukata rufaa. Kama Lema ameamua kutokata rufaa basi ana haki ya kufanya hivo na hampaswi kulalamika.
Ukikutana na wanasheria wanaoijua fani yao vizuri hata kama ulimbusu mpenz wako unaweza kufungwa kifungo cha maisha kwa udhalilishaji au ubakaji. Au ukawa umeua na ukaachiwa huru. Ni issue ya technicality za kisheria na ujanja wa kutumia makosa ya mshindan wako.
Mwacheni Lema ashike adabu. Mbona wabunge wenzake ambao tulitegemea wawe wakolofi zaid wako busy kushirikiana na Wananchi wao kuleta maendeleo. Hatusikii ujinga ujinga kama wa akina Lema
alale tu rumande tumechoka siasa za harakati za kipuuzi puuzi huku wananchi wanahitaji huduma ya mbunge...
mwache anyee ndoo kwanza,ajue mamlaka za mipakaAnaandika Comred Mbunge wa Jimbo la Tarime vijini John Heche.
Mahakama za Tanzania ni aibu kwa taifa, mahakama inapokua sehemu ya kunyima haki inafundisha watu tabia ya kutoheshimu mahakama.
Hili sakata la Lema kuna mtu aliniambia mapama litapigwa danadana mpaka feb kwa visingizio mbalimbali mwanzo sikuamin!
Sasa imethibitika hivyo inatia hasira sana. Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana!
wanaona Lema ni wa msingi zaidiHii ndio kesi ya kwanza inayostahili dhamana kunyimwa dhamana? Acheni double standard ! Piganieni haki za watuhumiwa wote kunyimwa dhamana hata wanapostahili dhamana.
Vinginevyo mnadhihirisha ubinafsi kuonyesha fulani anastahili zaidi ya fulani.
Kamtoe km unayo jeuri!Anaandika Comred Mbunge wa Jimbo la Tarime vijini John Heche.
Mahakama za Tanzania ni aibu kwa taifa, mahakama inapokua sehemu ya kunyima haki inafundisha watu tabia ya kutoheshimu mahakama.
Hili sakata la Lema kuna mtu aliniambia mapama litapigwa danadana mpaka feb kwa visingizio mbalimbali mwanzo sikuamin!
Sasa imethibitika hivyo inatia hasira sana. Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana!