John Heche: Hukumu Haitetewi inajitetea yenyewe

John Heche: Hukumu Haitetewi inajitetea yenyewe

My friends, ladies and gentlemen in politics,
hakua haja wala sababu hata moja ya kubabaika au kupanic kama fisadi heche na mwabukusi dhidi ya hukumu ya wazi kabisa iliytolewa kwaajili kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni hivi sasa

hukumu ishatoka na mfungwa yupo jela anatumikia adhabu aliyopewa na mahakama huru ya Tanzania.

hakuna haja ya kupiga mayowe nonsense ndani na nje ya JF, ambayo kwakweli hayawezi kusaidia wala kubadili ukweli mtupu kwamba kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kafungwa jela na yupo anasota korokoroni kutumika adhabu aliyopewa na mahakama huru ya Tanzania. Full stop.🐒
Ona naww unakuja na ujinga wako, jibu hoja kisheria na sio kutetea hukumu ❌
 
Ona naww unakuja na ujinga wako, jibu hoja kisheria na sio kutetea hukumu ❌
Gentleman,
mtuhumiwa kaisha hukumiwa na anatumikia adhabu aliyopewa na mahakama huru ya Tanzania, kumbwelambwela vitu useless kama heche na mabukusi ni kupoteza wakati tu but hakuna maana yoyote ile 🐒
 
Gentleman,
mtuhumiwa kaisha hukumiwa na anatumikia adhabu aliyopewa na mahakama huru ya Tanzania, kumbwelambwela vitu useless kama heche na mabukusi ni kupoteza wakati tu but hakuna maana yoyote ile 🐒
Haimaanishi ulihikumiwa its over ❌ hukumu sometimes zina utashi tu wa mtu flan au watu flani!! Hukumu hutetewa kisheria ✔️
 
Kombo!
 

Attachments

  • eadebaf2-00f8-4789-9058-4a87914ca47a.jpeg
    eadebaf2-00f8-4789-9058-4a87914ca47a.jpeg
    261.8 KB · Views: 1
Haimaanishi ulihikumiwa its over ❌ hukumu sometimes zina utashi tu wa mtu flan au watu flani!! Hukumu hutetewa kisheria ✔️
hayupo wa kutetea kilichotolewa uamuzi tayari na mahakama huru ya Tanzania.

ikiwa kuna ambae hujaridhika na uamuzi wa mahakama huru ya Tanzania, afuate taratibu husika na sio kumbwelambwela porojo na kupiga mayowe mitandaoni 🐒
 
Heche jichukulie tu uenyekiti hakuna mtu wa kutoka hapo na kimeo kingine kinakuja facts zilizomtia hatiani ndio hizo hizo zitazombana roporopo ye kila kitu anajiongeleaga tu,minne mingine inakuja mpaka ajue kuheshimu sheria.
 
Ok.
relax then,
ukweli unauma mno moyoni aise, pole gentleman 🐒

Tanganyika wanaishi wafu kwani wana desturi ya kutojitetea wenyewe.
Sidhani kama maiti hizi zina hofu yoyote kwani hazifeel lolote. They are living dead!
 
Tanganyika wanaishi wafu kwani wana desturi ya kutojitetea wenyewe.
Sidhani kama maiti hizi zina hofu yoyote kwani hazifeel lolote. They are living dead!
Ok.🐒
 

Attachments

  • 1790596150975.jpeg
    1790596150975.jpeg
    276.4 KB · Views: 1
hayupo wa kutetea kilichotolewa uamuzi tayari na mahakama huru ya Tanzania.

ikiwa kuna ambae hujaridhika na uamuzi wa mahakama huru ya Tanzania, afuate taratibu husika na sio kumbwelambwela porojo na kupiga mayowe mitandaoni 🐒
Ulimsikilliza minister of foreign affairs? Nyie machawa ni wajinga mnoo. Mnawaza malipo ya uchawa tu
 
The freedom is coming. Hata Nelson Mandela alipitia changamoto nyingi katika safari ya ukombozi wa Afrika Kusini. Ukombozi wa taifa haufanyiki kwa siku moja; ni safari inayohitaji uvumilivu, msimamo na kujitolea. Afrika Kusini nako walikuwepo vibaraka kama nyinyi, waliodhani mfumo hauwezi kubadilika na waliopinga harakati za ukombozi. Lakini historia ilionyesha kuwa hakuna mfumo unaodumu milele.
Mandela was a sold out
 
Back
Top Bottom