hukumu ya tundu lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums John Heche: Hukumu Haitetewi inajitetea yenyewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche, amepinga msimamo wa Serikali kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akisema hukumu hiyo inapaswa kujitetea yenyewe kwa kutenda haki badala ya kutetewa. Heche ametoa kauli hiyo...
  2. Manyanza

    JamiiForums Uingereza yavunja ukimya kuhusu hukumu ya Tundu Lissu, yataka haki na maridhiano Tanzania

    Serikali ya Uingereza imeelezea wasiwasi wake kuhusu kuhukumiwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka Tanzania kuzingatia haki ya kupata usikilizwaji wa kesi kwa haki, maridhiano ya kisiasa, demokrasia na utawala wa sheria. Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Wizara ya...
  3. B

    JamiiForums Kwanini hukumu ya Tundu Lissu ilivuja kabla ya kutangazwa rasmi?

    Taarifa za hukumu ya Tundu Lissu kuvuja kabla ya kutangazwa rasmi zimeibua maswali kuhusu usiri wa mwenendo wa mahakama na uadilifu wa taasisi za utoaji haki. Je, taarifa hizo zilitoka wapi? Nani alikuwa na mamlaka ya kuzipata kabla ya wakati? Na kama kweli hukumu ilivuja, je, hatua gani...
  4. lord atkin

    JamiiForums Majaji wawili hawajasaini hukumu ya Tundu Lissu

    Nakala ya hukumu ya Tundu Lissu ina saini ya Jaji mmoja badala ya majaji watatu waliosikiliza kesi. Majaji wengine majina wala saini zao hazipo licha ya hukumu humo ndani kutumia wingi yaani neno "we.." kila ukurasa. Hali hii inatia mashaka ikizingatiwa uwepo wa tetesi kwamba wakati hukumu...
  5. lord atkin

    JamiiForums Baada ya hukumu ya Tundu Lissu 4Rs za Rais Samia zipo wapi?

    Rais Samia Suluhu Hassan alijipatia umaarufu kwa 4Rs yaani akiwa na maana ya; 1. Reconciliation-Maridhiano 2. Reforms-Mabadiliko 3. Resilience- Ustahimilivu 4. Rebuilding-Kujenga upya Sasa ikiwa ni miaka takribani miaka 6 madarakani na akiwa amebakiza miaka 3 na nusu aondoke je sera hii ya 4Rs...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Somo Toka Hukumu ya Tundu Lissu: CJ Masaju, Usiruhusu Mahakama Kutumika kama Tissue Kufutia Mananii ya Udhaifu wa Kisheria wa Serikali!, Ibananishe!

    Wanabodi, Leo ni siku muhimu kwa mahakama ya Tanzania kitaifa na kimataifa kuhusiana na hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu. Huu ni uzi wa somo kubwa nililolipata kwenye kesi hii, kabla ya kesi hii juzi nilipandisha bandiko hili Macho na Masikio Yote ni Mahakama Kuu, Kusubiria Hukumu ya...
  7. K

    JamiiForums KUTOKA UHAINI HADI UCHOCHEZI: Uchambuzi wa Kisheria na Kisiasa wa Hukumu ya Tundu Lissu na Mustakabali wa Demokrasia Tanzania

    picha: Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akionyesha msimamo thabiti nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania wakati wa mchakato wa kesi yake. Wakuu wa jukwaa hili, Kama nilivyoahidi asubuhi ya leo hapa jukwaani kuwa nitaweka andiko refu la uchambuzi kufuatia maamuzi ya kesi inayomkabili kiongozi wa...
  8. A

    JamiiForums Godbless Lema, John Heche, pamoja na Sugu watinga katika hukumu ya Tundu Lissu leo

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Jihn Heche pamoja na Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu wahudhuria katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho...
  9. A

    JamiiForums Wafuasi wa CHADEMA kujitokeza kesho mahakamani kwa wingi kushuhudia mwenendo wa utoaji wa hukumu ya Tundu Lissu

    Hiyo keshooo hiyoooo! Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawataarifu viongozi, wanachama, wafuasi na umma kwa ujumla kuwa kesho ijumaa tarehe 6, Novemba 2026, kujitokeza kwa wingi mahamani kushduhudia mwenendo wa utoaji wa hukumu ya Tundu Antipas Lissu. Hukumu hiyo itatolewa mbele...
Back
Top Bottom