haki na sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums John Heche: Hukumu Haitetewi inajitetea yenyewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche, amepinga msimamo wa Serikali kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akisema hukumu hiyo inapaswa kujitetea yenyewe kwa kutenda haki badala ya kutetewa. Heche ametoa kauli hiyo...
  2. C

    JamiiForums Wakili Maduhu: Mahakama ilipaswa kuzingatia uwezekano wa kumpa Lissu adhabu ya faini

    Wakili Maduhu amesema Mahakama ilipaswa kuzingatia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ni mkosaji wa mara ya kwanza na kutathmini uwezekano wa kumpa adhabu ya faini badala ya kifungo cha miaka minne alichohukumiwa. Akizungumza kuhusu kesi ya Lissu katika mawasilisho chini ya Kituo cha...
  3. C

    JamiiForums Wakili Maduhu: Mahakama ilipaswa kuzingatia muda ambao Tundu Lissu alikaa mahabusu kabla ya kutoa adhabu

    Wakili wa masuala ya haki za binadamu William maduhu amesema kuwa Mahakama ilipaswa kuzingatia muda ambao Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliokaa mahabusu kabla ya kumhukumu kifungo cha miaka minne, akieleza kuwa kutofanya hivyo ni kukiuka utaratibu wa kisheria wa utoaji wa adhabu...
Back
Top Bottom