John Heche: CHADEMA tukipewa nchi tutaruhusu Uraia Pacha

Ridhaa ya kuongoza nchi hawawwzi kupewa watu wasio na sera za maana vichaa kama huyo heche atapewa wizara Gani aiweze mripokaji tu hazina ya viongozi Iko ccm tu
Ila teuzi za JPM na mama mpaka Sasa anateuwa upinzani huku maccm yakila nyavu kwa incompetence.
 
Hili ni jambo la kimaendeleo na Diversity. Haya mawazo wakoloni weusi watapinga.
2963318_1634198508271.jpeg
 
C589C4FD-DDA0-4D09-A427-D138B63F2C39.jpeg

Nimemsikiliza kuanzia mwanzo 21:39 hadi 22:28 ,Heche ana madini sana,huyu jamaa kipindi cha saa 1 hakimtoshi inatakiwa apewe saa tatu maana ana mambo mazuri mengi sana ya kulisaidia taifa,serikali inabidi muwe mnawatumia watu kama hao kuleta maendeleo.

Nimehuzunikia sana alipotolea mfano wa kisesa sehemu ambayo wanaweza kulima mpunga wakati anamshauri waziri mkuu,amesema tungewekeza pale bil 60 tungeweza kutoa ajira zaidi ya vijana elfu 50 na mnyororo wake wa wafanyakazi elfu 50(multiplier effect) ungekuwa mkubwa sana,lakini tumetumia zaidi ya bil 500 cash kununua midege wakati emirates ina routes zaidi ya 250 lakini wanannua ndege kwa mkopo.
 
Nimemsikiliza kuanzia mwanzo 21:39 hadi 22:28 ,Heche ana madini sana,huyu jamaa kipindi cha saa 1 hakimtoshi inatakiwa apewe saa tatu(3 hrs) maana ana mambo mazuri mengi sana ya kulisaidia taifa,serikali inabidi muwe mnawatumia watu kama hao kuleta maendeleo.

Nimehuzunikia sana alipotolea mfano wa kisesa sehemu ambayo wanaweza kulima mpunga wakati anamshauri waziri mkuu,amesema tungewekeza pale bil 60 tungeweza kutoa ajira zaidi ya vijana elfu 50 na mnyororo wake wa wafanyakazi elfu 50(multiplier effect) ungekuwa mkubwa sana,lakini tumetumia zaidi ya bil 500 cash kununua midege wakati emirates ina routes zaidi ya 250 lakini wanannua ndege kwa mkopo.
Hizo bilioni 60 bora wakalipane posho lakini sio kujali mambo ya watanzania. Bora wazipeleke kwenye chaguzi za marudio
 
Hizo bilioni 60 bora wakalipane posho lakini sio kujali mambo ya watanzania. Bora wazipeleke kwenye chaguzi za marudio

Heche anasema Bajeti ya Wizara ya kilimo inakuwa 160B ila Kwenye maendeleo inatengwa 40B na hizo 40B za maendeleo hawatoi zote wanatoa 5B tu basi ila 120B zinatolewa zote kwa ajili ya kulipa mishahara,kunua v8,service za magari ,perdiem,posho za vikao,warsha,semina,makongamano etc
 
HO wana akili ulishaina wapi chagadema wakawa na akili tamu we wasukize tu sasahivi wanavyofanya badala ya kuitangaza sera wanalazumisha vitu visivyo na msaada kwa mwananchi
Unajua maana ya "akili" kweli wewe!!??
Unajua maana ya "kuelimika" kweli wewe!!??
Rudia kusoma ulichoandika halafu utagundua kuwa wewe kichwani kuna hewa.
 
Agenda ya aina ya uraia wa Watanzania waliochukua uraia uhamishoni sio kipaumbele cha wananchi walio wengi
 
Back
Top Bottom