John Heche: CHADEMA tukipewa nchi tutaruhusu Uraia Pacha

Tundu Lisu hatakubali hiyo, hatakuwa na pumzi ya kutumikia mabwana wawili yani Amsterdam na pacha wake?
Hahahaaaha! na hayo mabaka mabaka umeweka kwa Avatar nahisi ndio wewe ulikosa Shabaha ya kumtundua Tundulisu…. Mwache kidogo basi hata apumue…
 
Heche hana tofauti na Raila Odinga anayesema eti wakimchagua ataongea na Tanzania iweze kuagiza mirungi inayolimwa huko Meru, Kenya.
 
Kwa hii hoja ya uraia pacha Cdm wanayoiongea, wakiishikia pango lazima ipite. Hata kama CCM itapora uchaguzi bado uraia pacha watatekeleza. Ifahamike sasa hivi ccm inalazimisha kubaki madarakani kwa shuruti, wakiona hoja ya Cdm inawafunika wanaipora kisha wanaitekeleza wao wakiamini watapata mvuto.
95% of Tanzanians will never set foot across the borders of the country during the span of their lives.

The last thing we are thinking about is the ban on dual citizenship
 
Back
Top Bottom