GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa watu, iwe ni mapolisi au siyo; jambo lililo wazi ni kuwa ni "wapambanaji" wa upande wa pili.

Hawa wanaweza tu hata kuwa ni watu waliokusanywa na upande wenye maslahi, na kuwapa chochote ili wakajaze tu nafasi hapo kwenye ukumbi, ili viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao wasiweze kuwa mahakamani. Kwani mtu kama Dula atashindwa kuwahudumia watu 60 tu kwa mlo wa siku moja? kwa kila mmoja wao?
 
Chadema ni wajinga wanashindwa kusajili watu mapema kwa majina na kujua watakaofika mahakamani ni wakina nani ilo zoezi walitakiwa kulifanga Jana tenologia ilivyo sasa hivi walitakiwa wasajili wanachama wao Jana ambao watafika mahakamani leo
Na "Askari kanzu" wanasajiriwa na nani, ili awasiliane na CHADEMA kuepuka kugombania nafasi mahakamani?
 
Back
Top Bottom