GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini wakikosa nafasi ya kukaa

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche ameeleza hayo mapema leo, Jumanne Septemba 09.2025 alipokuwa Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche ameeleza hayo mapema leo, Jumanne Septemba 09.2025 alipokuwa Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini wakikosa nafasi ya kukaa

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche ameeleza hayo mapema leo, Jumanne Septemba 09.2025 alipokuwa Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam.

Ccm akili hawana
 
Wafuasi wa Chadema wameanzisha mzozo mahakamani wakidai askari waliyovalia kiraia kutoka katika Ukumbi wa Mahakama inapotarajiwa kusikilizwa kesi ya Tundu Lissu ambaye ni mwenyekiti wa Chama hicho.

Chadema ni wajinga wanashindwa kusajili watu mapema kwa majina na kujua watakaofika mahakamani ni wakina nani ilo zoezi walitakiwa kulifanga Jana tenologia ilivyo sasa hivi walitakiwa wasajili wanachama wao Jana ambao watafika mahakamani leo
 
Hahahah ccm wameona wawavalishe polisi mavazi ya kawaida kweli kesi hii inaenda kuwashinda
 
Chadema ni wajinga wanashindwa kusajili watu mapema kwa majina na kujua watakaofika mahakamani ni wakina nani ilo zoezi walitakiwa kulifanga Jana tenologia ilivyo sasa hivi walitakiwa wasajili wanachama wao Jana ambao watafika mahakamani leo
Wajinga ni wale wawili waliokaliana wakazaa chocolate kama wewe pumbavu kabisa wewe
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini wakikosa nafasi ya kukaa

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche ameeleza hayo mapema leo, Jumanne Septemba 09.2025 alipokuwa Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam.

Jamani ata maaskari nao pia ni watu kama sisi ,imagine lecture ya sheria anayoitoa TAL ndani ya mahakama kama one man army adi mapoti nao wanagombania foleni ya kumuwai teacher wa sheria na teacher wa roho ngumu roho chuma cha pua, almaarufu mzee wa kuwavuruga akili govt na wanasheria wake,ndio yeye TAL waacheni waende kwake wakapate somo la kutubu upuuzi wanaomfanyia msiwafukuze wala kuwatoa nje mapot waacheni wapate nafasi ya kumskiliza ili watokwe machoz ya hatia zao.
 
Moja ya njia nzuri ni kuchukua picha za hao watu ili waTanzania wote tuwajue wafasi wapya wa Mh. Tundu Lissu; wenye kutaka kufuatilia kesi yake.
Tunaomba tuwajue kwa nyuso zao watu hawa.
 
1000036081.jpg
 
Jamani ata maaskari nao pia ni watu kama sisi ,imagine lecture ya sheria anayoitoa TAL ndani ya mahakama kama one man army adi mapoti nao wanagombania foleni ya kumuwai teacher wa sheria na teacher wa roho ngumu roho chuma cha pua, almaarufu mzee wa kuwavuruga akili govt na wanasheria wake,ndio yeye TAL waacheni waende kwake wakapate somo la kutubu upuuzi wanaomfanyia msiwafukuze wala kuwatoa nje mapot waacheni wapate nafasi ya kumskiliza ili watokwe machoz ya hatia zao.
Wewe umejikita upande huo, na kusahau/kujifanya kusahau upande wa pili.
Sasa tukuelewe wewe kuwa nia yako ni nini,... Unayo maslahi na hiyo kesi, hadi ujitume kupotosha maana ya hao watu kujaza hizo nafasi chache?
Nawe ulikuwa miongoni mwa hao mapolisi?
Hivi mmerukwa na akili, hadi kuwa kama vichaa; kwa sababu tu ya kutumiwa kama vikaratasi vya chooni?
 
Daaaah,poleee ndugu yangu fanya akili iwe tulivu urejee vizuri andko langu,punguza mapapara tutaonekana ss wa mrengwa wa kihafedhina hatujijui n kp tunairaji ikiwa tunawakiana ss kwa ss ,

Note:nmetumia lugha sanifu na kejeli ktk andiko langu dhidi ya wazamiaji na wapenywezaji.

NB: Tuliza akili ktk kila andiko la mdau then ndio ujibu.
 
Sasa unataka nihangaike na CHIZI? Muda huo utatoka wapi!
 
Nsamehee ndg.

Harakati za matusi mm simo,ila jitahd sana usiwe una reply maandiko ya wadau uliowatambua kuwa wanao uchizi ili ikupunguzie umunkari uchwara ktk fahamu zako.
 
Nilisha kutana na wengi zaidi wa aina hiyo, na karibu wote walikuwa na msimamo kama huo ulio ueleza hapo. Nina hakika wewe hutakuwa wa mwisho.
 
Back
Top Bottom