Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,614
- 287,331
Ni maagizo kutoka JuuAmekamatwa kwa kufanya kosa gani ?
Ila mwishwo wake yataskua majadiliano hili suala la "no reform no election" limepokelewa almost na watanzania wote wakiwemo baadhi ya ccm haliepukikiHii ni kwa mujibu wa accepted ya Lema kule X
Tuko pembeni tunasubiri kuona No Reforms No Election.Hii ndio Taarifa ya Sasa kutoka Kariakoo, Dar es Salaam
View attachment 3312332
Hakuwa na koso lolote, lakini Inaelezwa kwamba Maagizo kutoka Juu yameelekezwa akamatwe na apewe Kesi ya Ugaidi.
Behind the scene are male "dictators" not herThe female dictator
kwa spana za uhakika anazopiga heche ilikuwa tu suala la muda, ila watakwama masisiemuHii ndio Taarifa ya Sasa kutoka Kariakoo, Dar es Salaam
View attachment 3312332
Hakuwa na koso lolote, lakini Inaelezwa kwamba Maagizo kutoka Juu yameelekezwa akamatwe na apewe Kesi ya Ugaidi.