John Heche ahoji mkataba wa Tanzania na Barrick

Kimenuka !
Hechr Anawinda rushwa walizoea kufoka bungeni Acacia anawapelekea rushwa akina Zitto Kabwe na Lisu nk wabunge wa upinzani.Barrick hawapii hata Mia .Mkataba Ni Siri Kati ya pande mbili zinazosaini serikali na Barick
 
Tunakusubiri upinge hoja kwa hoja

Usitoke nje ya mada hebu nawewe lete mrejesho

Haya yakweli 👇

Mwadui tunashare 25%
Tanzanite tunashare 50%
Coal mine tunashare 30%
Barrick tunashare 16%
 
Siuhamie gaza au ukingo wa mto Jordan
ccm ina bahati sana kwa kuwa na wanachama mbumbumbu kama wewe , video hiyo imejieleza kinaga ubhagha , lakini kwa vile mmeng'olewa ubongo basi
mnakenua tu , ndio maana Magufuli anawaburuza atakavyo hadi kumteua mtu aliyefumaniwa na mke wa mtu na kukatwa panga kuwa waziri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom