Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Ovyo kabisa badala ya kuwaza fedha za walipa Kodi zinavyotumika ovyo, mnawaza madaraka tu.
Kurudia uchaguzi zinatumiaka zaidi ya bilioni4, wakati kutwa Serikali inakimbizana na Wamachinga walipie hata 20,000 na hawana.
We hujalala tuTueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
Naomba nawe utueleze kabla ya miaka 4 ya Nassari nini kilifanyika.Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
Naomba nawe utueleze kabla ya miaka 4 ya Nassari nini kilifanyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwahiyo dogo kapiga pesa chafuuYule kijana amecheza karata Kali sana ya kupiga pesa.
Simuamini mtu wa ukanda huo anapoona pesa.
Labda wale wa Kuanzia Mwanga kudi Tanga lakini sio kuelekea Himo,Arusha na Manyara. Ni watu walioandaliwa kimaslahi zaidi japo wanatumia akili ya ziada kutafuta pesa.
Nasari amepima umri wake akao na pesa mingi akapiga kisha akacheza mchezo mchafu na Waroho wa Vyeo na Madaraka ,Mabeberu wa Karne hii CCM .
Kuna kanda Tatu za kuogopa:
Ukanda wa pesa ,ukanda wa kidikteta na ukanda wa kupendana daima kimaslahi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kanda Tatu za kuogopa:
Ukanda wa pesa ,ukanda wa kidikteta na ukanda wa kupendana daima kimaslahi.
Maendeleo aliyofanya ni makubwa Sana moja wapo kuuza ubunge wake kwa CCM!Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
Na wewe anza kufungasha virago pale ngokolo,tumekuvumilia Sana imetoshaOvyo kabisa badala ya kuwaza fedha za walipa Kodi zinavyotumika ovyo, mnawaza madaraka tu.
Kurudia uchaguzi zinatumiaka zaidi ya bilioni4, wakati kutwa Serikali inakimbizana na Wamachinga walipie hata 20,000 na hawana.
Wewe kiwavi jeshi..Dogo janja kawa mbunge miaka 9..CCM walishika hill jimbo miaka 49..kimahesabu ni nani alitakiwa kuleta maendeleo??Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.